Photoshop: Airtel SIM Package Mock-Up

hongera kwa kutuwekea hii kitu bwana leh ila ingekuwa tutorial kwa watakao taka kujifundisha photoshop, ingekuwa poa, jioni ntaongeza simcard pack yangu au vipi....

afu umejitahidi kuweka shadow ionwkane realistic
 
Last edited by a moderator:
nilisinzia, nkasahau kuichapa
 
na mi najaribu bwana leh


hii simcard ya jf modal wangu ni dada yetu wa hapa hapa jf bibie fatma bawazir

-huu mtandao ceo wake e2themiza na kasema hauna vocha kila siku anaachia hole moja la net so its up to you


kama picha inaonekana ndogo iclick kuview kwa ukubwa
 
Nani kawa RUKSA ya kutumia picha ya my Mwali?
 
Last edited by a moderator:
Young Master wakaribishe kina nurbert, NingaR, kadoda11 na wengineo ambao ni wapenzi wa haya mambo, tayari nimeona chief-mkwawa umetupia yako
kaka C6 umejuaje!?yani hapa nilikuwa nimekesha ofisini kwa ajili ya video editing...ile na log in JF nakutana na hii kitu.sio siri kwa hili leh anahahitaji pongezi.nina motion graphics video nimeifanya via AE,nikipata mda wa kutosha nitai-upload youtube na kuleta link yake hapa jamvini ili wadau mnishauri zaidi sababu naamini ktk hii field yetu kila siku tunajufunza vitu jipya.
 
Aisee, ngoja nami nije na innovation..
kitambo nitarejea.
 
mpk wewe umekuja na yako, im about to quit my job

hahaha kaka mimi ni freelance graphics designer, ila mara nyingi hufanya haya mambo for funny na sijawa serious kibiashara...
mostly nitapost chochote hapa ili kuinspire upcoming designers nao waone inawezekana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…