PHOTOS - Uhuru has commissioned this massive Sh65 billion superhighway in Nairobi today

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,095
2,000
Safi sana, Indians wa Westlands wanajivujia kuwa Wakenya, Wakenya wa Muranga zamu yenu inakuja.
 

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
4,438
2,000
Uhuru has commissioned the construction of JKIA to Westlands expressway today.
In some stretches it is elevated.

This one is surely going to change the face of Westlands, and Nairobi.

The estimated completion date is December 2021.
It is a toll road.

View attachment 1234980 View attachment 1234981 View attachment 1234982 View attachment 1234983
Congrats,ingekuwa bongo hapo Magu angefanya mradi huu wimbo wa taifa na kutukana watangulizi wake na maccm yangeimba pambio kila forum
 

niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,559
2,000
Nchi nyingi au tuseme zote isipokuwa Bongo kuna tolls. Ukisafiri kila baada ya KM kadhaa inabidi ulipe toll siyo nyingi mfano US it is about 2.50us dollars, Thailand unalipa equivalent na 1 dollar, Myanmar ukienda vijiini unalipa about 1 us dollar lakini ni kila count yaani wilaya. Hizo pesa ndo zinasaidia miundombinu kuendelea. Barabara zipo safi kabisa. Siyo sisi unalazimishwa kulipa kwenye foleni tena mabasi tu. It does not work like that..
 

mwaswast

JF-Expert Member
May 12, 2014
12,004
2,000
Kwahiyo unahisi kwa upande wa TZ hakuna mradi kama huo ambao Magufuli alisha uwongelea....Kunakitu kinaitwa Kibaha Express loading very soon..
Picha za Kibaha loading soon? Sisi tunaenjoy Thika road 8 years now na wewe hapa unapigia sisi kelele juu ya barabara ambayo haijakamilika
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,375
2,000
Yaani JKIA hadi Westlands itakua nyweee....majirani waje kutalii waache kushangaa kale ka-flyover walikopewa na Mjapani.
Halaafu jam ya Mombasa road siku hizi naona imepungua, nimepita hapo mahali moja kwa moja bila usumbufu.
 
Top Bottom