Some buildings lazma ziangushwe,,,plus land mob prime itachukuliwa from owners especially expensive areas around Nairobi school na central park,uhuru park,railways..alot of compensations..... Westlands especiallySijapata uchambuzi wa mahesabu yake vizuri, lakini ninachojua ni kwamba kufumua katikati ya mji sio mchezo, haswa kwa Nairobi.
The free road is also being re-constructed.
It will include a bus lane and on some sections a 2 lane service road on both sides.
Wajinga ndiyo waliwao. Kwa hiyo mchina akiwajengea yeye anaondoka zake?
Sikiliza kijana, kwenye pfi/ppp. Private sector anaikopesha serikali kwa kuweka public asset ambayo serikali ilipaswa iweke, na serikali inabidi imlipe kwa kumlipa mchina kidogo kidogo au kwa watumiaji wa hiyo public asset wamlipe mchina wanapotumia hiyo asset. Kwa mujibu wa IPSAS hiyo yote ni sawa na deni kwa public kwa maana kukitokea na demand risk, lazima serikali atafuatwa ili ku top up the gap. Na mara nyingi hiyo inakuwa kwenye contract.
Uzuri wa hii ni kuwa na cash motivation,
katika maana ya kuwa serikali haina haja ya kutenga bajeti ya ujenzi wa asset hiyo. Lingine ni kuwa, in case the project is not doing good, the lenders will foreclose the spv or project company and project, but not the promoters of the project. Hii inaitwa off balance sheet in project finance.
Ni wapi ambapo mvua ikinyesha hakujai maji. Maana Japan yenyewe ipo kwenye mafuriko kutokana na mvua zinazonyeshaMm ni Mtanzania. Nawapongeza Kenya ktk Miundombinu.
Tz ni siasa za Kijinga tupu! Mvua imenyesha wiki1 tu Dar nzima Bahari. Barabara zikafungwa!!
So ni kitu gani umeeleza tofauti na inavyofahamika, wapi nimesema Mchina akijenga anaondoka zake, umenipotezea muda kusoma maandishi mengi yasiyo na chochote kipya.
What the fvck are you on? 😂😂Yaaa, that's how it works. But the free road will be having more restrictions than the toll road, such as speed limits signs, speed humps/bumps.
Why are you worried on behalf of Kenyans? Si nilidhani nyinyi mpo poa tu? And what do you mean by 'revenue sharing' ?? 😂Bro this is kinda of a Technical stuff. If you don't follow, it's better you quietly pass rather than attacking the person.
Tell us is not the burden to Kenyans.
My worries are about cost of the project and revenue sharing.
Some buildings lazma ziangushwe,,,plus land mob prime itachukuliwa from owners especially expensive areas around Nairobi school na central park,uhuru park,railways..alot of compensations..... Westlands especially
Bro...umenifanya nimecheka sana...yani eti hata km twauzwa poa2
Designed, Funded, Constructed and Operated, Maintained by CCCC,
Kenya ndiyo inauzwa hivyo,
Hapo uhuru atakuwa amepiga mpunga mrefu sana wa kustaafia kabisa,
Manina
Ushawahi kuona kenya mvua ikinyeesha? 😂😂😂Tz ni siasa za Kijinga tupu! Mvua imenyesha wiki1 tu Dar nzima Bahari. Barabara zikafungwa!!
So ni kitu gani umeeleza tofauti na inavyofahamika, wapi nimesema Mchina akijenga anaondoka zake, umenipotezea muda kusoma maandishi mengi yasiyo na chochote kipya.
Mm ni Mtanzania. Nawapongeza Kenya ktk Miundombinu.
Tz ni siasa za Kijinga tupu! Mvua imenyesha wiki1 tu Dar nzima Bahari. Barabara zikafungwa!!
Wacheni wajinga wajibambe,
Wakimaliza project UtaendeleA,
Mtu kwao hakuna ata Freeways, anakuja kukupa lecture ya expressways...
Umama wa hali ya juu
Kabisa mkuu...salute to his Excellence UK
Bro this is kinda of a Technical stuff. If you don't follow, it's better you quietly pass rather than attacking the person.
Tell us is not the burden to Kenyans.
My worries are about cost of the project and revenue sharing.
Mzee wakati mwingine acknowledge ukipewa Shule,
Ni wazi hapo ulikuwa mweupe umepigwa shule unajifanya ulikuwa unajua,
Humu kuna Taaluma nyingi tofauti, Wenye Busara wanalithamini hilo,
Ila ukiwa hivi unaonekana sasa ni mpumbavu, Huu msamiati sio mzuri kwa Watu wazima ila unamaanisha mtu anaelazimisha kuonekana anafahamu kila kitu.
Calm down and Learn.