PHOTOS: Realistic 3D Designs,Created by Jamiiforum Members

Huku ni kiufundi zaidi twenzetu MEMBERS ONLY
hapana mshana,hakuna cha kiufundi wala nini,ni utundu utundu tu wa kujaribu vitu tofauti.:eyebrows:

OK today,while i was doing some modeling practices,i designed a simple 3D physical environment.karibuni
 
Nimeahafanya project yangu ila inasumbia ku upload nitaileta, wikerman umetisha
 
hapana mshana,hakuna cha kiufundi wala nini,ni utundu utundu tu wa kujaribu vitu tofauti.:eyebrows:

OK today,while i was doing some modeling practices,i designed a simple 3D physical environment.karibuni
View attachment 242738

Napenda sana 3D za namna hii hasa zenye kuwakilisha vitu vitatu kwa wakati mmoja, Ardhi,maji na mbingu ukiweza nifanyie moja tafadhali
 
kaka,ukitaka ku-upload kwa urahisi,save file kwa format ya JPEG.


sawa mkuu, ndivyo nilivyofanya naona ishu ni mtandao tu, acha nijaribu tena...

Sorry, ufafanuzi kidogo, naweza kutuma kazi iliyotengenezwa kwa photoshop au lazima iwe imetengenezwa na 3d software tu


Hii hapa ni kazi niliyofanya kwa Photoshop bila pluggin yoyote wakuu, kama inakidhi vigezo tafadhali ipokeeni.
 

Attachments

  • The Box 3D.jpg
    64 KB · Views: 286
Sina idea yoyote wala sikuwa na mpango wa kujifunza haya mavitu.

Lakini akijitokeza wa kunipa elimu, nitaanza rasmi!:yo:
 

Wonderful Creation
 
kaka lukansola
unaweza share kazi iliyotengenezwa na software yoyote as long as it's projected in 3D view (xyz).hongera kwa kujaribu.yaonekana upo vizuri sana kwenye PS.ukiongeza size ya hilo box utakuwa umefanya jambao la maana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…