Adobe After Effect
Senior Member
- Dec 31, 2012
- 144
- 75
thanks bro,you're welcome.nice thread
hahahaha usiogope kaka,sote tupo hapa kujifunza,hakuna anayejua zaidi ya mwingine.halafu sio lazima kila post uweke picha,zingine ni story na utani kidogo kama hivi.ila brother hiyo retina macbook kwa kazi kama hizi ndio mahala pake.mimi kwa sasa situmii mac,natumia dell laptop,ila ipo vizuri sana.unaweza cheki specification zake hapa chini.ngoja nifanye moja fasta ni post hapa, niko na macbook pro yangu hapa 13" ssd with retina display hahaha, Adobe AE utatuuwa na assignements zako.
iam very proud with your committed response guys,cant wait.pamoja sana.Mine coming soon...
View attachment 242379View attachment 242380
Sijafanya 3D miaka mingi toka nihamishie concentration kwenye programming... Ila kwa kuchangia jukwaa kuna hizi nimetafuta fasta kwenye mashine, nlizifanya 2010 enzi hizo bado beginner kabisa, No Global illumination, no custom made textures.. Just a simple quick image... Just pure Cinema 4D..
Nkipata muda ill come up with something cool na kurender kwa Unreal then ntatupia...
duh!!,umetisha mkuu.:lol::lol:Ngoja kwanza nilete orijino, afu ya kuchora baadaye!
wote sisi ni wageni wa hizi mambo.ni kujaribu tu.daa mi hapo mgeni. hizo mambo sizijui kabisa
hapana kaka,jamii photo ndio mahala sahihi,mimi ndio nimeuomba mod asiupeleke jukwaa la tech.uzi kuletwa jamii photo wakati kule kuna hadi sticky zinahusu mambo kama haya sio fair kabisa
babkubwa wickermanHii imekaa poa sana!,
Personally, sina project nyingi mpya lakini hizi ni baadhi ya projects zangu kwa kutumia 3D Programs na After effects
Nyengine ni za muda kidogo, lakini thats not the case!