MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
nina mashaka na huyo binti
Kwa nini KAGAME asiwe na mkewe kwenye hafla kama hizi ambazo wenzie wako na wake zao?
Ni ngongoti si mchezo....
baba mwanaasha angeenda na mwanaasha,au kwa vile ni mfupi kama mama yake angefunikwa na huu mvinje wa kitusi
nina mashaka na huyo binti
Kwa nini KAGAME asiwe na mkewe kwenye hafla kama hizi ambazo wenzie wako na wake zao?
Smart ,Tall n beatiful.
Aaanza kumfunza na kum-expose kwenye POWER Circles jambo ambalo any proud mzazi anaweza kufanya
Ni ngongoti si mchezo....