Mgaratia Wa bongo
Senior Member
- Oct 4, 2020
- 116
- 143
Asante sanaNunua hizo series za 20s hiyo ya 30 achana nayo
2525 na 2530 ni nzuri
3225 Mkuu?Hayo madude ukiyaona kwa nje unaweza ukafikiri ndani yana vitu vya maana! Kumbe ni maplastiki matupu. Yakianza kusumbua utawatafuta mafundi mpaka mbinuni waje wakurekebishie.
Mala drum, roller, kujam na mafundi wengi ni wababaishajiHayo madude ukiyaona kwa nje unaweza ukafikiri ndani yana vitu vya maana! Kumbe ni maplastiki matupu. Yakianza kusumbua utawatafuta mafundi mpaka mbinuni waje wakurekebishie.
Jambo la muhimu hakikisha unanunua mashine mpya. Na siyo zile used from Dubai.3225 Mkuu?
Hapo Dsm tofauti na mambosasa ni wapi tena wanauza kwa Bei nzuriChukua 2520 ipo safi nilishawahi kuitumia miaka kadhaa nyuma!
Usitoke nje ya hapa. Evelyn kamaliza.Nunua hizo series za 20s hiyo ya 30 achana nayo
2525 na 2530 ni nzuri
Aisee huyu jamaa yupo vizuri. Sema nimesikia kuna ndugu yupo Bunju yule anaeuza vitu vya mtumba kama magari machine mbalimbali, laptops toka ukHapo Dsm tofauti na mambosasa ni wapi tena wanauza kwa Bei nzuri
Ninayo mkuu ninaiuzaHapo Dsm tofauti na mambosasa ni wapi tena wanauza kwa Bei nzuri
Mashine gan na upo wapNinayo mkuu ninaiuza
Photocopy machine ufundi wake ni mzozo. Ila ukiitumia kwa utunzaji, hadi inachoka, tayari imesharudisha pesa yako.Mala drum, roller, kujam na mafundi wengi ni wababaishaji
Canon 2520,nipo chanikaMashine gan na upo wap
Bei ganCanon 2520,nipo chanika
1,400,000/-Bei gan
Ni kweli Mimi nilinunua IR 2520 mwaka 2028 inadunda mpaka Leo.Jambo la muhimu hakikisha unanunua mashine mpya. Na siyo zile used from Dubai.
Ni kweli Mimi nilinunua IR 2520 mwaka 2028 inadunda mpaka Leo