basi kama chooni inafaa.
Nashuru sana mkuu kwa hekima zako,kuna watu humu huwa hawajui mambo bali kazi yao ni kukwaza wengine tu.kuna mijitu humu ndani inajaza tu server, kama huwezi kumjibu mtu swali lake, potezea.... Mkubwa,hiyo ipo powa cos its multifunction, alafu unaweza copy 2500 pages out of a single toner cartridge...inbox me umenunua @ wat price?
Nikweli za chooni ni nzuri,hata Pc zake.Is this the home of only GREAT THINKERS????????