PHOTOCOPY MACHINE kwa Dar es Salaam

PHOTOCOPY MACHINE kwa Dar es Salaam

dreamchaser94

Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
32
Reaction score
4
Habari wana Jf,
Kwa yeyote mwenye kuuza, kama kuna mtu unamfahamu anauza au kuna sehemu kwa hapa DSM wanauza Photo Machine zile kubwa kuanzia namba 2025 na kuendelea zile kubwa za Stationary kwa bei isiyozidi Tshs. 800,000 naomba kujulishwa. Ahsante
 
Back
Top Bottom