Photo: What happened to these leaders?

Eliminated by natural death.

Nothing less nothing more.

If you think otherwise that will be your problem.
 
Halafu waliondoka kwa kufatana, huyu wa mwisho Ambae ni jpm alivyoondoka tu na heka heka za uviko ikawa hamna Tena mpaka sasa bado najiuliza Nakosa jibu yani magu alivyofariki tu na issues za COVID zikawa kimyaa!!
 
Labda alijitoa kafara kwa ajili yetu.
Na kama ni hivyo, basi tunashukuru maana kwa kufa kwake, covid 19, iliisha!
 
Nadhani unakumbuka zile heka heka za updates za wagonjwa na maambikizi mapya, mara barakoa, mara lockdowns ila alivyofariki tu yote hayo yakapotea nchi ikawa kimya kama hapakuwa na covid
 
Na Kwenye Mazishi Watu Waliudhuria Bila Kuvaa Barakoa Na Salamu Za Mikono Kama Kawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…