Sexer JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 8,552 Reaction score 8,311 Dec 6, 2014 #1 Nahitaji kwa ajili ya kusafishia picha na passport size katika kijiofisi cha uswahilini, je ni aina gani na model ipi inafaa kwa kazi
Nahitaji kwa ajili ya kusafishia picha na passport size katika kijiofisi cha uswahilini, je ni aina gani na model ipi inafaa kwa kazi
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,770 Reaction score 22,721 Dec 6, 2014 #2 Ndugu Sexer, Printer sahihi kwa kazi yako ni hii L800 Sexer said: Mkuu mie nahitaji printer je hiyo model ya jamaa inafaa? Click to expand... Nikuuzie Epson CISS L800 kwa tsh 870'000 Kwa mtaalamu yeyote wapicha lazima akushauri uchukue CISS Printer kama L800 Kwa DSM utaletewa mahala ulipo bila cost ya ziada Kama upo mkoani utalipia zaidi tsh 10'000 ya kusafirishia kwa basi Ni mpya, boksi na nailoni utachana mwenyewe; Call 0784 496 856 Ifahamu vizuri hii printer kupitia link hii |Epson Inkjet Photo L800 | Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ndugu Sexer, Printer sahihi kwa kazi yako ni hii L800 Sexer said: Mkuu mie nahitaji printer je hiyo model ya jamaa inafaa? Click to expand... Nikuuzie Epson CISS L800 kwa tsh 870'000 Kwa mtaalamu yeyote wapicha lazima akushauri uchukue CISS Printer kama L800 Kwa DSM utaletewa mahala ulipo bila cost ya ziada Kama upo mkoani utalipia zaidi tsh 10'000 ya kusafirishia kwa basi Ni mpya, boksi na nailoni utachana mwenyewe; Call 0784 496 856 Ifahamu vizuri hii printer kupitia link hii |Epson Inkjet Photo L800 |
Mawenzi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,251 Reaction score 347 Dec 6, 2014 #3 mwal.RCT: photo printing sawa na photo development? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Sexer JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 8,552 Reaction score 8,311 Dec 6, 2014 Thread starter #4 Mwl.RCT said: Ndugu Sexer, Printer sahihi kwa kazi yako ni hii L800 Nikuuzie Epson CISS L800 kwa tsh 870'000 Kwa mtaalamu yeyote wapicha lazima akushauri uchukue CISS Printer kama L800 Kwa DSM utaletewa mahala ulipo bila cost ya ziada Kama upo mkoani utalipia zaidi tsh 10'000 ya kusafirishia kwa basi Ni mpya, boksi na nailoni utachana mwenyewe; Call 0784 496 856 Ifahamu vizuri hii printer kupitia link hii |Epson Inkjet Photo L800 | Click to expand... Inakuwa na ink tank zake eti? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwl.RCT said: Ndugu Sexer, Printer sahihi kwa kazi yako ni hii L800 Nikuuzie Epson CISS L800 kwa tsh 870'000 Kwa mtaalamu yeyote wapicha lazima akushauri uchukue CISS Printer kama L800 Kwa DSM utaletewa mahala ulipo bila cost ya ziada Kama upo mkoani utalipia zaidi tsh 10'000 ya kusafirishia kwa basi Ni mpya, boksi na nailoni utachana mwenyewe; Call 0784 496 856 Ifahamu vizuri hii printer kupitia link hii |Epson Inkjet Photo L800 | Click to expand... Inakuwa na ink tank zake eti?
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,770 Reaction score 22,721 Dec 6, 2014 #5 Sexer said: Inakuwa na ink tank zake eti? Click to expand... [*] Ndio ina ink tank zake ,Karibu
L Lugano5 R I P Joined Jul 15, 2010 Posts 4,520 Reaction score 760 Dec 6, 2014 #6 Sexer said: Nahitaji kwa ajili ya kusafishia picha na passport size katika kijiofisi cha uswahilini, je ni aina gani na model ipi inafaa kwa kazi Click to expand... ninayo Epson ninauza 400000 tuwasiliane,Ila ni Epson R310
Sexer said: Nahitaji kwa ajili ya kusafishia picha na passport size katika kijiofisi cha uswahilini, je ni aina gani na model ipi inafaa kwa kazi Click to expand... ninayo Epson ninauza 400000 tuwasiliane,Ila ni Epson R310
Mawenzi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,251 Reaction score 347 Dec 6, 2014 #7 Tafon said: ninayo Epson ninauza 400000 tuwasiliane,Ila ni Epson R310 Click to expand... Mkuu, na wewe toa specifications za machine yako kama alivyofanya Mwal.RCT hapo juu. Niko inteterested
Tafon said: ninayo Epson ninauza 400000 tuwasiliane,Ila ni Epson R310 Click to expand... Mkuu, na wewe toa specifications za machine yako kama alivyofanya Mwal.RCT hapo juu. Niko inteterested
Sexer JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 8,552 Reaction score 8,311 Dec 8, 2014 Thread starter #8 Sexer said: Inakuwa na ink tank zake eti? Click to expand... Vipi kuhusu habari ya workforce ziko powa?
Sexer said: Inakuwa na ink tank zake eti? Click to expand... Vipi kuhusu habari ya workforce ziko powa?