TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,267 Reaction score 25,557 Jul 30, 2015 #1 Akiwa anachukua fomu za kuomba kuteuliwa kupata nafasi ya kugombea uraisi, nini unachogundua kwenye picha hii? Attachments 1438245498645.jpg 32.8 KB · Views: 1,266
Akiwa anachukua fomu za kuomba kuteuliwa kupata nafasi ya kugombea uraisi, nini unachogundua kwenye picha hii?
Northpal JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 335 Reaction score 298 Jul 30, 2015 #2 Wewe unamapungufu best, kwan picha kaichora nan? Kudhihirisha uwehufu wako... Boxing haichezwi ungali umevaa miwani. Pungwani we..
Wewe unamapungufu best, kwan picha kaichora nan? Kudhihirisha uwehufu wako... Boxing haichezwi ungali umevaa miwani. Pungwani we..
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jul 30, 2015 #3 Mechi za mtani jembe always kandambili inapokea kichapo!
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Jul 30, 2015 #4 nsa ji said: Wewe unamapungufu best, kwan picha kaichora nan? Kudhihirisha uwehufu wako... Boxing haichezwi ungali umevaa miwani. Pungwani we.. Click to expand... Umesahau kuwa ye mwenyewe aliyeandika huu uzi amvaa miwani?
nsa ji said: Wewe unamapungufu best, kwan picha kaichora nan? Kudhihirisha uwehufu wako... Boxing haichezwi ungali umevaa miwani. Pungwani we.. Click to expand... Umesahau kuwa ye mwenyewe aliyeandika huu uzi amvaa miwani?
Renegade Platinum Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,968 Reaction score 8,640 Jul 30, 2015 #5 TODAYS said: Akiwa anachukua fomu za kuomba kuteuliwa kupata nafasi ya kugombea uraisi, nini unachogundua kwenye picha hii? Click to expand... Blue au Green Corner?
TODAYS said: Akiwa anachukua fomu za kuomba kuteuliwa kupata nafasi ya kugombea uraisi, nini unachogundua kwenye picha hii? Click to expand... Blue au Green Corner?
L lucy thawe JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 296 Reaction score 40 Jul 30, 2015 #6 Kwa udhaifu alionao atapigwa ngumi
Gunst JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 3,171 Reaction score 6,149 Jul 30, 2015 #7 Magu anataka kukimbia, Edo anajitingisha kuonyesha yuko fit
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,267 Reaction score 25,557 Jul 30, 2015 Thread starter #9 Mkuu povu lisikutoke, soma mada uelewe kisha comment ukiwa umetulia. nsa ji said: Wewe unamapungufu best, kwan picha kaichora nan? Kudhihirisha uwehufu wako... Boxing haichezwi ungali umevaa miwani. Pungwani we.. Click to expand... Kweli avatar name yako ina maana, Asante. hekimatele said: Umesahau kuwa ye mwenyewe aliyeandika huu uzi amvaa miwani? Click to expand...
Mkuu povu lisikutoke, soma mada uelewe kisha comment ukiwa umetulia. nsa ji said: Wewe unamapungufu best, kwan picha kaichora nan? Kudhihirisha uwehufu wako... Boxing haichezwi ungali umevaa miwani. Pungwani we.. Click to expand... Kweli avatar name yako ina maana, Asante. hekimatele said: Umesahau kuwa ye mwenyewe aliyeandika huu uzi amvaa miwani? Click to expand...