PHOTO ENTRY KWA SHILINGI 500/= TSHS KWA PICHA
Tunafanya photo entry kwa wote watakaohitaji huduma yetu, tutamaliza ndani ya dakika 10.
VITU MUHIMU VYA KUWA NAVYO NI
picha za wanafunzi wako ambazo umezipanga kama mpangilio wa majina ya wanafunzi wako katika entry formyako kwa kuandikwa majina yao
entry form iliyojazwa majina
KAZI IKIMALIZIKA UTAPATA VITU VIFUATAVYO
picha ambazo zimeshabadilishwa na kuwa katika vipimo vya NECTA (132 x 185 pxl, less or equal to 4kb) ambazo tunakuwa tumesha zirename tayari: kwa mfano: IMG_1877 na kuwa S3981-0001-AISHA NASSORO
file la excell ambalo utaenda kuprint ili upate hard copy ambazo wanafunzi watahakiki kama picha na jina yao kama yako sahihi kwa kuweka saini zao
UNACHOTAKIWA KUFANYA
zip/unrar picha zako pamoja na registration form uliyoijaza na unitumia kwa kupitia E-mail yangu hapo chini
nnitashughurikia ndani ya saa moja na nitakutumia nusu na ukimaliza malipo nitakutumia zilizobakia
kumbuka ni shilingi 500/= za kitanzania
NB: Kama unataka tubadilishe bila kuzirename. gharama yake itakuwa Tsh. 250 kwa picha (hapa hatutaitaji entri form yako)