Photo: Eldoret Town Uasin Gishu County (5th Largest town in Kenya)

Wow! Siku nikirudi Eldi naona nitapotea njia, anybody with estates pictures please post, a lot has really changed for the better.
 
Nakubaliana na wewe. Mimi sijawahi kuenda eldy lakini huona tu kwenye mitandao na ni kweli, kumebadilika sana. Aki wakiendelea hivyo na hii mijengo watatupita pwani sababu pwani hakuna malls nyingi vile.
 
The last time I was in Eldy a few years back, I felt lost in my own home town, place I grew up and knew every damn street. Yaani majengo yanasimamishwa pembe zote, watu wanachakarika balaa. Am so happy for them, japo felt so bad that SGR haipitii huko, but hope watatafuta jinsi ya kuiunga baadaye.

Kuna time Mandago aliwahi kuibua hilo Why Mandago wants SGR extended to Eldoret
 
Naomba watashughulikia SGR kwenda miji yote inayokuwa kwa kasi. Hii itakinga msongamano wa magari siku za usoni. Wanafaa wachukulie somo Nairobi.
 
FB_IMG_15445963369887635.jpg
FB_IMG_15445962457584891.jpg
FB_IMG_15445959818580791.jpg
FB_IMG_15445959036045578.jpg
FB_IMG_15445958751660181.jpg
 
5th largest!!! Are you serious! Truly, i am not that much good when it comes to know Kenya..but this shocked me in deed..if this is also considered to be among the top 10 of your cities. I have to change your contry name from kenya to kunyaland..
The dirty city like this in Bongo land we even not calling it city..but a complicated village..
 
Dar is your biggest most complicated fishing village.
 
Back
Top Bottom