Phones to be used to test for HIV soon

Phones to be used to test for HIV soon

Ntangoja kizazi cha tatu cha hiyo tekinolojia,..
Staki kuamini %mia huo uvumbuzi,.
 
Kuna jamaa yangu mmoja alinunua kipimo cha HIV kutoka kwenye zahanati moja lengo akajipime mwenyewe...homu...alipofika home tu akaanza harakati za kutoa damu..na kudondoshea sehemu husika....alafu akakisogeza mbali kidogo kile kipimo..akisubiri majibu..
Kasheshe likawa kwenye kuyatazama majibu.....jamaaa akawa hata kikiangalia kipimo hataki na akatoka nje kabisa..kwa uoga...
Hadi jioni ilipofika akachukua taulo akalilusha kwenye kile kipimo na kufunika pote pale...na akakiokota kipimo akaenda kukitupa chooni bila hata ya kuangalia majibu yake......dah ni noumaaaa...

hahahah hii stori imeniacha hoi kwa kicheko asee,,ndo apo watu watakapodumbukiza smatifoni vyooni ss
 
Back
Top Bottom