Phonebook

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
1,321
Reaction score
605
Majina yanayoanza na herufi gani ndiyo mengi zaidi kwenye simu yako? Kwa nini?
Mi kwangu ni herufi 'm' kwasababu wengine nimewasevu kama mjinga, mshenz,msela,mwendawazm,mshkaj, madame a,b,c...
 
Basi,bila shaka wewe ni mwendawazimu,ndio maana umejaza wajinga kwenye cm yako!
 
Kwangu ni Herufi A-Z nimeandika majina kama ifuatavyo........
Yale yote uliyoyasoma kwenye vitabu na kuyasikia redioni

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
M bila shaka kwa kila mtu haswa majina ya mama peter,ma john na pia majina ya ukoo mengi yameanza na M
 
M kweli ni kiboko, jamaa 1 amemsevu kimada "mchonga majeneza"
 
labda niseme majina yanayong'aa kwa sasa kwenye simu yangu.
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri pia wewe ni mwehu ndo maana wamejaa wajinga na mwehu wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…