phonebook ya profesa jk, majina kwenye simu yake amesave hivi..
1. Six-akiwa anamaanisha samwel sita.
2. Noma-akiwa anamaanisha joseph sinde warioba
3. Wille-akiwa anamaanisha willium lukuvi
4. Nyepesi-akiwa anamaanisha zitto kabwe
5. Tumbili-kafulila
6. Mwizi-werema
7. Sokwe- hapa sijajua anamaanisha nani?
mchepuko-akiwa anamaanisha vick kamata
Sidhani kama hii thread itakua na maisha marefu sana japo ni stress remover nzuri