Phone lost

Ndio ninayo mkuu

Natamani nikuelekeze zaidi!Ila hilo suala Kitengo cha Cyber pale Makao Makuu polisi/Kituo cha Polisi cha Kati ukiwa na RB ni suala jepesi!
Sasa upime gharama ya simu yako na hela utakayoitoa katika kusapoti investigation!Ukishafika pale ulizia watu wa Cyber nina uhakika utapima gharama ya simu yako au kiasi cha kusapoti investigation na hapo ndio utachagua nini ufanye!
Mwisho wa Mchango wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom