Sio window mkuu umeambiwa phoenix.....ungeuliza hivi hiyo OS inakubali kwenye pc yenye sifa (specification) zipi?.....jifunze matumizi sahihi ya OS na windows...Mkuu CHIEF MKWAWA hiyo window inakubali kwenye PC yenye feature zipi?
1. sio windows ni custom version ya android ila ina muonekano kama wa windows. ukiieka utakuwa unaweka apps za androidMkuu CHIEF MKWAWA hiyo window inakubali kwenye PC yenye feature zipi?
Hivi kumbe ni window na OS ni vitu viwili tofauti, nitashukuru kama utanielekeza nujue nini ni nini kati ya hivyo.Sio window mkuu umeambiwa phoenix.....ungeuliza hivi hiyo OS inakubali kwenye pc yenye sifa (specification) zipi?.....jifunze matumizi sahihi ya OS na windows...
Mkuu kwani window na OS tofauti take ni nini? Pc yangu nikiipeleka kwa fundi nikimwambia aniwekee OS ya xp au window xp 8 aeleweka ni kitu kimoja, ila kuna mdau hapo juu amesema window na os ni vitu viwili tofauti, naomba kujua tofauti take.1. sio windows ni custom version ya android ila ina muonekano kama wa windows. ukiieka utakuwa unaweka apps za android
2. pc yoyote yenye ram kuanzia 1gb inakubali
OS ni kifupi cha Operating System, OS zipo aina tofauti iOS, android, windows, linux etc. So ukiangalia hapo utaona windows ni aina mojawapo ya OS.....ni makosa uliposema "hiyo window inahitaji pc yenye sifa zipi" ukimaanisha phoenix OS aliyoizungumzia mtoa mada.Hivi kumbe ni window na OS ni vitu viwili tofauti, nitashukuru kama utanielekeza nujue nini ni nini kati ya hivyo.
Asante kwa ufafanuzi, Mimi nilidhani Phoenix ni OS kama xp, ubhuntu, lunux ect.OS ni kifupi cha Operating System, OS zipo aina tofauti iOS, android, windows, linux etc. So ukiangalia hapo utaona windows ni aina mojawapo ya OS.....ni makosa uliposema "hiyo window inahitaji pc yenye sifa zipi" ukimaanisha phoenix OS aliyoizungumzia mtoa mada.
Kuna muda unanifurahishaga sana chief-mkwawa unavyochambua unavyovijua....na kuna muda unazinguaga sana kwa vitu usivyovijua...ila heshima kwako[emoji1] [emoji1]1. sio windows ni custom version ya android ila ina muonekano kama wa windows. ukiieka utakuwa unaweka apps za android
2. pc yoyote yenye ram kuanzia 1gb inakubali
duu kitambo hii kitu bado ipo kweli au wenye mabasi yao wameshapaki no route tena...Jamani naweza pata wapi PD proxy na Tsh ngapi
Hehehe pole sanaaaMimi nimenyoosha mikono Kila nikijaribu kuiweka hiyo Phoenix nikiwasha inaniambia kuna error haikubali mwisho nimeachana nayo tu
subiria chrome os mwezi wa sita/saba itapata update ya kuiwezesha kurun apps za android na playstore kabisa, ikitoka hio update watu wataiport hadi firefox, google chrome na operaMimi nimenyoosha mikono Kila nikijaribu kuiweka hiyo Phoenix nikiwasha inaniambia kuna error haikubali mwisho nimeachana nayo tu