Mwisho wa ubaya ni aibu.
Wanaume wengi unakuta wanapata wasiwasi wenza wao wakifanulikiwa kwa kuogopa revenge. Wanasema pata hela mkeo akijue tabia yako. Unakuta wakati mwanaume ana hela masimango kwa mke na nduguze hayapungui. Sasa anajionea huyu mama akipata upenyo si atanilipishia? Kama hatishiki tena kodi ya nyumba si nae ataanza kunirudia usiku wa manane?
Sababu nyingine ni pale ambapo mapenzi yanaendeshwa kwa nguvu ya fedha. Kuna mwenza anamwaga hela tu na kusahau misingi ya uhusiano kama vile sex, emotional support na hata kujaliana na kuonueshana upendo. Sasa kama mwenza ilibidi atoe huduma hizo kwa sababu ya utegemezi, akifanikiwa si utamsikia bombani?
Mbu, Muonyeshe upendo, uaminifu na uwazi wa kila jambo mkeo, atakuamini, hapo ulipoandika inaonyesha kuwa hakuamini anaona jinsi unavyopanda cheo na kusafiri nje ya nchi , wanawake wengine watakuchukua na wewe ukamtelekeza, so muonyeshe kuwa yeye ni special kwako na hakuna mwanamke mzuri kama yeye, na yeye ndiyo kila kitu kwako, atatulia na hatokuwa na wivu huo.
ukiona mumeo au mkeo ana tabia hizo, simply JUA na UAMINI kuwa HAKUPENDI!!!! Na ujiulize NI KWA NINI ULIFUNGA NAYE NDOA???!!!
ni wivu tu usio na manufaa yoyote na mtu wa hivo anataka yeye ndo awe juu siku zote.......pia tabia kama hizo mtu huzaliwa nazo.View attachment 113859
....hivi, hebu nyie watu wazima wenzangu incl Dark City, @ nyumba kubwa, Lizzy, Mr Rocky, Nyamayao,..... Mniambie hii kitu kwenye ndoa, Mume/mke anakuwa;
-hapendi mwenza wake akisifiwa,
-hapendi mafanikio ya mwenza wake
Kikazi
-hapendi mafanikio ya mwenza wake kimaisha, nk nk..
Yaani yeye anataka mwenza wale abaki dhalili tu!....
Ni nini hii?! Psychological problem, Obsession au ni Ujinga tu!?
Eti Eiyer, @aspirin, King'asti, afrodenzi, Smile, EMT, TIMING, soulmate wangu MwanajamiiOne na wengineo, mkuje hapa mnipe ushauri...
... AshaDii, umenisoma jamani, BAK, tafakari unishauri...mpo wengi, sitawataja wote ila nawaomba msaada wa mawazo juu ya hili....
Kwanini "hawafurahii" mafanikio ya wenza wao?!!
hapana mkuu hata kama unafanya research familia zilizowahi kusambaratika kwa style hiyo utakuta mwanamke ndo alipanda cheo(promotion) kwa sababu wengi wao (sio wote) wataanza kua limbukeni kwa sababu hata watu anaokutana nao wenye status kubwa)......hahaha, yaani kila nikisoma katikati ya mistari nakuhisi wewe ni mmoja wa wanaume wanaopata homa ya ghafla Spouse wako akipata mafanikio kimaisha!
#samahanilakini
......hivi utamuonyeshaje mtu asiyekuamini kwamba yeye ni Special kwako!?
ni wivu tu usio na manufaa yoyote na mtu wa hivo anataka yeye ndo awe juu siku zote.......pia tabia kama hizo mtu huzaliwa nazo.
MBU Muonyeshe kwa vitendo na si maneno, mfano ukiwa unarudi home mpitie kazini kama anafanya kazi, wahi kurudi home, hata kama utatoka baadaye lakini ukitoka ofisini nenda home kwanza, penda kuwa naye karibu kila mara, ongea naye mambo ya maendeleo na umshirikishe naye awe anatoa maamuzi, si kila kitu unafanya mwenyewe yeye anakuja kupata taarifa tu, muonyeshe kila kitu chako kwa uwazi, usifiche, Onesha ule upendo wa mwanzo kabla hujamoua, mpk akakuamini akakubali kuolewa nawe, atarudisha moyo wake na kukuamini. Tatizo letu sisi wanawake ni kujaliwa tu hata kama huna kitu, mjali onyesha upendo na mthamini utaona atakavyo kupenda na kukuamini.
hapana mkuu hata kama unafanya research familia zilizowahi kusambaratika kwa style hiyo utakuta mwanamke ndo alipanda cheo(promotion) kwa sababu wengi wao (sio wote) wataanza kua limbukeni kwa sababu hata watu anaokutana nao wenye status kubwa)
.....-hakuamini!-
Well, hebu tuanzie hapa.
Kusifiwa kwako, au mafanikio yako kikazi na kinaisha kunahusiana vipi na kuaminiana?
Kama nilivyotanguliza mwanzo kama hiyo issue sio kawaida!
Hapo kunamahusiano haya:
Ikiwa mtu anagubu or hakuamini, maendeleo yako ndio huzidisha wizu kwake due to the fact that, utazidi kuwavutia wengine..
Hivi umesahau mtu akiwa na shida hukwepwa sana? Na akifanikiwa ni kinyume chake!!!!
Hivyo bas, kufanikiwa ni kama kivutio flani kwa wengine! Kwa vile yeye hakuamini HUFIKIRIA kwamba huwezi kushinda hayo majribu especial kwa wale ke wanaoshobokea mshiko na good life! (na ke wengi unawakama ukiwa na mshiko/mafanikio!)
...
Nadhani umeona mahusiano hapa!
......you are being pessimistic now,
Kwanini umegikiria hivyo (mafanikio yatafanya utekeleze familia....?)
....hahaha, you have an experience!!!
Do you mind to share...
...
Nahisi tunarudi kulee kwenye suala la kujitambua na kujithaminisha aka self esteem!
..kwi kwi kwi...so mke na mumewe wanalogana!!Hiyo ni dalili ya uchawi....