Huyu jamaa anayeponda falsafa huku yeye mwenyewe anaitumia hata kwenye kuiponda hajui anachoandika.Sina uhakika unaelewa ulichoandika,
Philosophy hata zen Buddhism ni philosophy ndio maana kun miongozo yake.
Kama unaongelea branch ya logical philosophy inayo husika na rational reasoning ambayo inatumika pia na wanayasansi.
Au unaongelea philosophy za Jiddu Krishnamurti aliyeandika vitabu kama free from the known.
Kila kila kitu ni philosophy
Why should the question be whom?According to whom?
Hoja ni philosophy haiwezi ku understand nothingness, its mystical and illogical,sijaipinga wala kuiponda nimesema uwezo huo haina ndo maana down the ages mnashinda ku argueHuyu jamaa anayeponda falsafa huku yeye mwenyewe anaitumia hata kwenye kuiponda hajui anachoandika.
Halafu naona hayo mambo ya esoteric mumbo jumbo ndiyo kama anayajua leo.
Mimi ninesoma Buddhist philosophy na meditation tangu last century nimekutana nayo hayo mambo anayoyasema miaka ya 1990s.
Buddhists wamezama sana katika hayo mambo ya emptying your mind and all kinds of esoteric philosophies.
Ndiyo maana nikimuona anajichanganya hapa, kuponda falsafa, wakati anatumia falsafa hata kuponda falsafa, namuona yuko at least 25 years nyuma yangu.
What am sharing is far beyond meditation and buddhism,philosophy and other religious and science fieldsHuyu jamaa anayeponda falsafa huku yeye mwenyewe anaitumia hata kwenye kuiponda hajui anachoandika.
Halafu naona hayo mambo ya esoteric mumbo jumbo ndiyo kama anayajua leo.
Mimi ninesoma Buddhist philosophy na meditation tangu last century nimekutana nayo hayo mambo anayoyasema miaka ya 1990s.
Buddhists wamezama sana katika hayo mambo ya emptying your mind and all kinds of esoteric philosophies.
Ndiyo maana nikimuona anajichanganya hapa, kuponda falsafa, wakati anatumia falsafa hata kuponda falsafa, namuona yuko at least 25 years nyuma yangu.
Nothingness haina cha kuelewa zaidi ya kwamba ni nothingness.Hoja ni philosophy haiwezi ku understand nothingness, its mystical and illogical,sijaipinga wala kuiponda nimesema uwezo huo haina ndo maana down the ages mnashinda ku argue
Kwenye dunia ambayo haina mtu, haiwezekani logic kuwepo?Usijizungushe socrates,plato au wewe?
Philosophy=Religion=OpiumPhilosophy is the opium of the mind!
It is just a mental gymnastic
That is your philosophy and argument.What am sharing is far beyond meditation and buddhism,philosophy and other religious and science fields
Its SATORI
Unamjua Jiddu Krishnamurti!?Hoja ni philosophy haiwezi ku understand nothingness, its mystical and illogical,sijaipinga wala kuiponda nimesema uwezo huo haina ndo maana down the ages mnashinda ku argue
Naungana na wewe katika hili... Kila unachokiamini au kuwaza tayari ni falsafa.Hata hiyo ni philosophy, na wewe pia unajifurahisha ili ujione kuwa mjuaji wakati ni zezeta?
The very act of eqating things is philosophy.Philosophy=Religion=Opium
A mind needs philosophy just as a Car needs fuel tu function.
What is too much knowledge?Thats why nikasema too much knowledge makes you lesser intelligent,ukikumbuka jinsi unavyozaliwa unaona nini?
Ni sawa kabisaThe very act of eqating things is philosophy.
Therefore, if you are right, even your statement is opium.
Mkuu unajua branch za philosophy zote au your referring logical philosophy kama ndio general philosophy.Simjui maana hata nikimjua whats your point?
Ndo maana nakuuliza according to whom?you or whoThat is your philosophy and argument.
So if philosophy really is bullshit.
Satori is also bullshit.
Satori is a Japanese Buddhism term.
Philosophy is of Mind i share what is of no - MindMkuu unajua branch za philosophy zote au your referring logical philosophy kama ndio general philosophy.
Unapoongelea Mungu, dini or whatever unaongelea philosophy on the first place.
Ndio mana Mungu wa wakristo na waislamu ni tofauti kwa sababu wana different philosophy