Philipo Mwakibinga ajiunga na ACT Wazalendo

mkuu lizaboni wote hao uliowataja hakuna atayeshinda hata mmoja; bulaya ni ndoto kumshinda wasira na lembeli hawezi kumshinda kishimba so wote naona wamekul wa chuya

Jifarijini humu,CCM huwa haishindi mara zote ila wanaiba kura tu lakini mwaka huu tutazilinda mpaka kufa,Wasira kamuweka Pius huko Bunda ili aiuze jimbo intelejensia ikagundua wakamwengua.
 
mkuu lizaboni wote hao uliowataja hakuna atayeshinda hata mmoja; bulaya ni ndoto kumshinda wasira na lembeli hawezi kumshinda kishimba so wote naona wamekul wa chuya
..............na L😱wasa hawezi kumshinda Magufuli....endelea
 
CCM maghufuli ni fisadi wa alivyouza nyumba za serakali.

Aliuza halafu hela aliweka mfukoni mwake? au ndio ule mkumbo tu kwamba na mimi nionekane nimejibu ili tujue uko upinzani. tusiwe tunalikosesha hadhi jukwaa hili.
 
Kama kuna kitu watu wengi wa CHADEMA wanakosea ni kudhani wako sahihi muda wote na juu ya kila kitu. . . . .

on point!!na hii huwanyima fursa ya kujirekebisha sababu hawaoni kama wanaweza kukosea!viongozi wao wamefanya kazi nzuri kutengeneza wanachama wasiofikiri zaidi ya kile viongozi wao wamesema....shame that some of those people ni wasomi wazuri tu wa vyeti
 
Duh!! Mtu mmoja tuu kuhama uzi umekua mrefu namna hii, wangehama kundi kama walivyo hama CCM si ingekua balaa hapa. Lakini kama kahamia ACT, si bado atashinda na mtakua mmeyatoa ma CCM ama😳?
 
Chadema ni kama AC Milan, wanamtema huyu dogo aliyeshinda kura za maoni ili wamuweke Njelu Kasaka, nadhan bado wanaishi mwaka 1990.Njelu Kasaka jimbo la Lupa leo??wamechelewa kweli, hapa ushindi wa CCM saa 2 asubuhi.
 

Hayo maneno uliyoandika unaweza kumwambia na lowasa?
 

Viva Mwakibinga. Kupigania haki sio tu nje ya chama chetu tulichokipenda japo kinaonekana kuendeshwa kulingana hisa unazomiliki. Mapambano yanaendelea. Nje na ndani komaa. Mtu akikuletra utapali unakula naye sahani moja. BIG UP MAN.
 

Malisa unaakili ya kibaguzi sana. Ukanda umekujaa. Ndio umeandika nini sasa hapa. Rudi shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…