PhD Scholarship in Mathematics!!

PhD Scholarship in Mathematics!!

The Khoisan

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
18,956
Reaction score
18,916
Kuna opportunities za PhD scholarships for pure mathematics nje ya nchi. Mwenye nia au aliye na mtu anayemjua tuwasiliane kupitia PM.

Mode naomba uiache hapa kwa muda ili watu wengi waione na Watanzania wasikose hii opportunity!!

Nawasilisha!!
 
Sasa unaficha nini, weka link ili wenye vigezo wajipime. Au anataka baadae aku-acknowledge kuwa wewe ndo ulimuunganishia scholarship?
 
Sasa unaficha nini, weka link ili wenye vigezo wajipime. Au anataka baadae aku-acknowledge kuwa wewe ndo ulimuunganishia scholarship?

Hakuna link nina contact na Professor ambaye anahusika. Hazijawa advertised. Kama una mtu anicontact then itamuunganisha na muhusika. Siwezi kuweka e-mail yake hapa!!
 
Mm ni undergraduate natamani pita huko ila now manake natake niende soma masters vp kuhusu hilo
 
Back
Top Bottom