PhD kwa Mwl Christopher Mwakasege

PhD kwa Mwl Christopher Mwakasege

Naona huu ni wakati muafaka kwa vyuo vyetu vikuu ndani ya Tanzania kumtunuku Shahada ya (Heshima) kutambua na kuuthamini mchango wa Mwl huyu katika ukombozi wa Fikra haswa katika maswala ya Uchumi na Uongozi.

Agree fully with you. This guy is exceptionally gifted, humble, and inspirational!!!!!
 
Wewe itabidi upelekwe mirembe au ni wale wale au ni ile ile au mbele kwa mbele. Unajua maana ya PhD kwanza na unapataje???

Stop ua nonsense, tumechoka kuona utumbo wa vijana wasio jitambua ndiyo mnaosbabisha hata nchi kufikia hapa tulipo kwani hamjitambui hatimaye tunaburuzwa tu.
Tuanze na wewe unayejitambuaaa ..
Kama ungekuwa unajitambua basi ungeeleza kwa kina na kwa hoja.. siyo mipasho kaa ya Hadija kopa.. na wasiwasi na elimu yako na taalumaa yako.
 
Back
Top Bottom