Pharmarcists karibuni

Pharmarcists karibuni

ayubu ilomo

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
12
Reaction score
14
Leo teeeena...habarini wanajukwaa
kuna bwana mmoja anapenda kuuliza ni vipi competition ya kijana wa pcm kupata pharmacy??
 
Ngazi gani iyo unazungumzia wewe degree au diploma?
Na vipi matokeo yake kapataje?
 
PCM na kuwa Pharmacist wapi na wapi??

Labda kama una maanisha Pharmaceutical technician
 
Back
Top Bottom