unazingua hauko seriousBei ni 8m picha asubuhi ntaziweka mkuu.
Bei inahusisha items zipi, mfano pango, dawa, furnitures, muuzaji etc... impress mteja mkuu kwa weka mchanganuo mzuri wa items, milion 8 ni nyingi pasipo mchanganuo.Bei ni 8m picha asubuhi ntaziweka mkuu.
Mkuu bei kuna mzigo wa 2.9m furniture muuzaji (salary 250 per month na posho 3k daily) kodi ya pango ya miez 4 (300k *4) camera na router ya inernert( net solution) ila maongezi yapo.Bei inahusisha items zipi, mfano pango, dawa, furnitures, muuzaji etc... impress mteja mkuu kwa weka mchanganuo mzuri wa items, milion 8 ni nyingi pasipo mchanganuo.
Kaka weekend tuonanee nipo nafanya scouting nataka nimpate kijana mmoja kama Mimi talented, mwaminifu, tufunge nae safari ya utajiriiii kikubwa ni kua focused TANZANIA pesaaa ipoooo
Sasa unapatikana kwa njia ipi, au tuje kuulizia hapo Airport wanaweza kutuonyesha ofisi ilipo??Mkuu bei kuna mzigo wa 2.9m furniture muuzaji (salary 250 per month na posho 3k daily) kodi ya pango ya miez 4 (300k *4) camera na router ya inernert( net solution) ila maongezi yapo.
Ni wewe unipe schedule yako itakavyokuwa na mm nijue mapema,Kaka weekend tuonanee nipo nafanya scouting nataka nimpate kijana mmoja kama Mimi talented, mwaminifu, tufunge nae safari ya utajiriiii kikubwa ni kua focused TANZANIA pesaaa ipoooo
Ni muda mrefu Sasa nimechoka kusindikiza watu kwenye utajiriiii.... Mimi ni billionaire mdogo yaani u billionaire wangu still upo kwenye ubongoo
Nisha Anza kupiga vinywaji changamshii min -me
😃😆😁😊
Siku ukiniona/ tukionana ukajua Mimi weka mchuzi pangu pakavu nianzishie thread 🧵Ni wewe unipe schedule yako itakavyokuwa na mm nijue mapema,
Wewe ni boss kubwa cc MENEMENE TEKERI NA PERESI