INAUZWA Pharmacy inauzwa

INAUZWA Pharmacy inauzwa

Kaka weekend tuonanee nipo nafanya scouting nataka nimpate kijana mmoja kama Mimi talented, mwaminifu, tufunge nae safari ya utajiriiii kikubwa ni kua focused TANZANIA pesaaa ipoooo

Ni muda mrefu Sasa nimechoka kusindikiza watu kwenye utajiriiii.... Mimi ni billionaire mdogo yaani u billionaire wangu still upo kwenye ubongoo
Nisha Anza kupiga vinywaji changamshii min -me

😃😆😁😊
Kaka
 
Nikilinunua hapo nje nitapaboresha kidogo.
Nitamwaga hata kokoto laini.
 
Duka zuri. Badala ya kuangaika na bajaji bora uwekeze hapa.
 
  • Thanks
Reactions: naa
Karibuni bado hipo kwa 7m
 
Back
Top Bottom