Pharmacy Database Creation Help Needed

Elvicepride

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
243
65
Nielekezeni nitumie Software gani kutengeneza Database ya duka la madawa mimi ni msimazi nataka nitoke kwenye Manual tuanze kwa computer Ku-store information
I need a latest software
or anything latest.
 
maelezo mafupi sana ukijielezea zaidi aina ya software, hizo bidhaa, information unazotaka kuweka nk naweza kukusaidia zaidi ila kikawaida quickbook ndio hutumika maeneo mengi
 
Namaanisha ya Leja kujazia dawa zilizouzwa zinazoingia na kutoka na balance yake nitakuwa najaza kila dawa iwe na kurasa yake,??
 
kama quickbook point of sale nafkiri inaweza fanya hivyo. ni software rahisi haihitaji kujifunza sana hii hapa screenshot ya navigator yake

quickBooks_point_of_sale_navigator.jpg

imegawanyika makundi makuu matatu
-mauzo
-inventory
-bidhaa zinazoingia

na unapoeka bidhaa kwenye inventory unaeka na bei zake, zipo sehemu za discount nk

pia kuna report za kila namna, kuanzia report ya kawaida ya mauzo, bidhaa inayotoka sana, store inayoongoza kwa mauzo nk
 
Nitatengeneza mwenyewe nahitaji tu mwongozo kwa vilivyobora na latest and the best Thank you,??
Kama size ya pharmacy ni kubwa basi backend tumia sql/mysql na frontend tumia access. Then wajua kinachofuata

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
kama quickbook point of sale nafkiri inaweza fanya hivyo. ni software rahisi haihitaji kujifunza sana hii hapa screenshot ya navigator yake

quickBooks_point_of_sale_navigator.jpg

imegawanyika makundi makuu matatu
-mauzo
-inventory
-bidhaa zinazoingia

na unapoeka bidhaa kwenye inventory unaeka na bei zake, zipo sehemu za discount nk

pia kuna report za kila namna, kuanzia report ya kawaida ya mauzo, bidhaa inayotoka sana, store inayoongoza kwa mauzo nk
kama quickbook point of sale nafkiri inaweza fanya hivyo. ni software rahisi haihitaji kujifunza sana hii hapa screenshot ya navigator yake

quickBooks_point_of_sale_navigator.jpg

imegawanyika makundi makuu matatu
-mauzo
-inventory
-bidhaa zinazoingia

na unapoeka bidhaa kwenye inventory unaeka na bei zake, zipo sehemu za discount nk

pia kuna report za kila namna, kuanzia report ya kawaida ya mauzo, bidhaa inayotoka sana, store inayoongoza kwa mauzo nk
Nimekupata Thanks Bruh.
 
Nielekezeni nitumie Software gani kutengeneza Database ya duka la madawa mimi ni msimazi nataka nitoke kwenye Manual tuanze kwa computer Ku-store information
I need a latest software
or anything latest.
Miimi nakushauri Tally, ndio mwisho wa matatizo ktk swala zima la kutunza stock, manunuzi, mauzo na report ya kila hitajio inapatikana kwa urahisi, maelezo yatakuwa mengi zaidi, inafundishika kwa muda mfupi sana, ni pm nije kukuonesha inavyo fanya kazi, utashangaa.
 
Kuna software latest, inaitwa Pastel. hiyo inakupa kila ripoti, mfano bidhaa ilouzwa sana, bidhaa ilokaa sana store, reminder za expire date
 
Nielekezeni nitumie Software gani kutengeneza Database ya duka la madawa mimi ni msimazi nataka nitoke kwenye Manual tuanze kwa computer Ku-store information
I need a latest software
or anything latest.
Habari chief, ipo latest software inaweza kukidhi mahitaji yako na pia ninaweza Ku customize kulingana na mahitaji yako. Angalia sample screens below. Ni PM for more info na demo
 
Attachments

  • IMG_20161103_064647_788.jpg
    IMG_20161103_064647_788.jpg
    52.5 KB · Views: 48
  • Screenshot_2016-11-03-06-09-49.png
    Screenshot_2016-11-03-06-09-49.png
    24.9 KB · Views: 45
Miimi nakushauri Tally, ndio mwisho wa matatizo ktk swala zima la kutunza stock, manunuzi, mauzo na report ya kila hitajio inapatikana kwa urahisi, maelezo yatakuwa mengi zaidi, inafundishika kwa muda mfupi sana, ni pm nije kukuonesha inavyo fanya kazi, utashangaa.
Software yake ntaipatajr mkuu??
 
Tumiaa Tally tuu.....very simple and easy...Tally.ERP9 Power of simplicity. Tucheck tally expert in Dar es salaam 0714777211
 
Ni simple sana mkuu, halafu bei yake nirahisi nicheki 0687535650
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom