Pharmaceutical Technician natafuta kazi

Pharmaceutical Technician natafuta kazi

akili_ninazo

Member
Joined
Mar 18, 2025
Posts
69
Reaction score
144
Habari wakubwa...

Kijana wenu machachali mwenye uchu wa mafanikio ninakuja mbele zenu naomba msaada wa kazi ya taaluma yangu.

Mimi ni pharm technician mwenye leseni hai na uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitatu (3) kwenye famasi jamii na famasi za hospital pia. Nina ujuzi mzuri tu wa kutumika computer kwa microsoft office na mengine ya ziada.

Kijana wenu sina kazi nipo mtaani mpaka nahisi dawa nilizosoma zinaanza kuyeyuka kichwani sasa, naombeni msaada wa kazi ama koneksheni za ajira zinazopatika kwa hospitals au pharmacies.

Wakubwa zangu ikiwa mna kazi tofauti na taaluma angu lakini ukaamini naweza kufit kwenye kazi basi naomba msaada wako pia ata kwa hiyo kazi.

Mwisho ningependa kusema. Itakuwa furaha kubwa sana kwangu na kwa kwa mama yangu mpendwa kama nikipata kibarua cha kuingiza pesa kidogo waau mimi na mama yangu tutabasamu.

Amani iwe nanyi wakubwaa...
 
Anatafutwa pharmtech au dispensing pharmacy dar ambae yuko interested kindly dm your contact.
 
Wakubwa,
kijana wenu bado sijapata kazi mambo yanadundaa. Naomba muendelee kunifiria huko kwenye sehemu za kazi zenu.

Nawashuku pia kwa mlio onesha kusaidia hapa na Pm ingawa mambo hayaja kubali lakini Asanteni.
 
Back
Top Bottom