mkuu kwa viwango vya sasa simu zinaishia 4.99 (tunaeza ita 5) kuanzia 5.01 sasa hio ni phablet hadi 6.99 na kuanzia 7 ni tablet.
ila soon tutaanza kuchanganyana maana simu zinakua kubwa na computer zinazidi kua ndogo.
mimi napenda simu yangu iwe navitu hivi japo ni strange.
nataka iwe inch 8 lakini isiwe na umbo la tablet (bezel kulia kushoto chini na juu), nataka iwe na umbo la simu kama galaxy tab 3 ya inch 8