Pgss 10

Pgss 10

Beby

Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
24
Reaction score
4
naombeni mniambie huu mshahara una range kwenye sh. ngap please.
 
jaribu ku google utumish utaona. binafsi sijui
 
wewee usimkatishe tamaa mwezio kwani umesikia hyo ni halmashauri ya wilaya,mishahara ya mashirika sio haba ka kwetu halmashauri
 
najua pgss 11 ina laki 8.0 hadi laki 8.72, hiyo pgss 10 itakuwa kati ya laki 6.5 hadi 7.0
best wishes
 
Acheni kumkatisha tamaa mm ninalipwa huo mshahara c mbaya sana
 
Acheni kumkatisha tamaa mm ninalipwa huo mshahara c mbaya sana

Mkuu mbona unatuchanganya...si ulisema unacheti cha Agriculture ukawa unaitamani ile post ya Farm Manager kule Segerea, ukadai tatizo uko kijijini na hauna kazi?!!..Sasa haya mambo ya salary scale ya Pgss 10 inakuwa vipi tena?!!!!
 
Sorry nimechanganyikiwa si unajua tena kukaa muda bila kazi ni matatizo
 
Mkuu mbona unatuchanganya...si ulisema unacheti cha Agriculture ukawa unaitamani ile post ya Farm Manager kule Segerea, ukadai tatizo uko kijijini na hauna kazi?!!..Sasa haya mambo ya salary scale ya Pgss 10 inakuwa vipi tena?!!!!

Amesahau kama alishadanganya mahali pengine, Liars should have good memory.
 
pgs10 gross yake ni 892000,,,after deduction take home ni 734000
 
Back
Top Bottom