Watapita hapa kimya.
They salty as f.uck right now
Now this is s car i love.....peugeots are really unique ....this is a car i will choose over a mercedes
Kenya ina uchumi mkubwa wewe, angalia bajeti zao na thamani ya shilingi yao uone.Eti Kenya kitovu cha Africa
Watu mna paranoia
Wenawe unakua kama hujasoma...wakenya wanauchumi mkubwa upi? Endelea kuaamini hivo. ..wangekua vizur wangelipa hao madaktariKenya ina uchumi mkubwa wewe, angalia bajeti zao na thamani ya shilingi yao uone.
Shilingi elfu moja ya Kenya inakulisha wewe na familia yako wote, kwani uongo?Wenawe unakua kama hujasoma...wakenya wanauchumi mkubwa upi? Endelea kuaamini hivo. ..wangekua vizur wangelipa hao madaktari
Eti Kenya kitovu cha Africa
Watu mna paranoia
Shilingi ya Kenya ina thamani kuliko Japanese yen.Shilingi elfu moja ya Kenya inakulisha wewe na familia yako wote, kwani uongo?
Kwaiyo routes za KQ na hiyo proposed network ya Mchina ndiyo imefanya Kenya kitovu?Haya mambo hayataki hasira, mdogo mdogo tu unapata darasa na dozi inakuingia. Hutajwi kuwa kitovu kiulaini, lazima udhihirishe pakubwa uwezo wako. Wakenya nguvu kazi yetu ndio siri yetu, tunatumia nguvu nyingi kuwaelimisha watoto wetu na kuwawezesha pakubwa.
Tunajituma balaa....
Nafikiri kwa picha utaelewa tu taratibu.
Shilingi ya Kenya ina thamani kuliko Japanese yen.
Usiwe mjinga mkuu!
Ni sawa kabisa, na vipi tukifananisha Kenya na Japan kwa mantiki hiyo?Nyie hamuwezi kujifananisha na Japan maana shilingi yenu haina thamani na viwanda hamna, mnaagiza hadi sindano na pipi. Wajapani hata hela zao zikikosa thamani, wao wana viwanda hivyo hawahitaji dollar sana kuagiza kutoka nje. Sasa nyie umaskini tuu...
Haitoshi...iyo ni ela ya kunywa bia weekend moja tu na nyama nikijaza gar mafuta imeisha...Shilingi elfu moja ya Kenya inakulisha wewe na familia yako wote, kwani uongo?