Peugeot kuanza kiwanda cha magari Kenya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,528
47,774
Baada ya kampuni ya magari ya Ujerumani, Volkswagen kutangaza kuanzisha kiwanda cha magari Kenya, nayo kampuni ya Ufaransa ya Peugeot wameamua kutobaki nyuma kwenye huu mwendo kasi wa kuifanya Kenya kuwa nchi ya viwanda, maana ndio kitovu cha Afrika.

Makampuni ya kimataifa yanapigana vikumbo Kenya, kila mmoja anataka apate fursa ya kuanzisha kiwanda. Naomba Wakenya tuendelee kuchakarika na kuzitafuna hizi fursa kama wafanyavyo mamba pale Maasai Mara pindi nyumbu wanapojileta......unyang'au full kwenda mbele kwa mbele.
==========================

IN SUMMARY

  • President Kenyatta revealed the Paris-based conglomerate’s plans in his Jamhuri Day speech.
  • The announcement comes ahead of German automaker Volkswagen’s launch of the first passenger car to be assembled locally, the Polo Vivo, next Wednesday.

French automaker Peugeot is set to start local assembly of its brands from next year, becoming the latest multinational to produce vehicles in Kenya.
 
Very Appropriate, Now that they are used by NTSA both for patrols and as enforcement vehicles.
Patrol Cars
1313183.jpg

Cd1LJ2-UYAAvwwZ.jpg

images-10.jpeg

Enforcement vehicles
eb11a6ab1b.jpg
 
Eti Kenya kitovu cha Africa
Watu mna paranoia

Haya mambo hayataki hasira, mdogo mdogo tu unapata darasa na dozi inakuingia. Hutajwi kuwa kitovu kiulaini, lazima udhihirishe pakubwa uwezo wako. Wakenya nguvu kazi yetu ndio siri yetu, tunatumia nguvu nyingi kuwaelimisha watoto wetu na kuwawezesha pakubwa.
Tunajituma balaa....

Nafikiri kwa picha utaelewa tu taratibu.

1421373.jpg

0345.jpg
 
Kwaiyo routes za KQ na hiyo proposed network ya Mchina ndiyo imefanya Kenya kitovu?
 
Shilingi ya Kenya ina thamani kuliko Japanese yen.
Usiwe mjinga mkuu!

Nyie hamuwezi kujifananisha na Japan maana shilingi yenu haina thamani na viwanda hamna, mnaagiza hadi sindano na pipi. Wajapani hata hela zao zikikosa thamani, wao wana viwanda hivyo hawahitaji dollar sana kuagiza kutoka nje. Sasa nyie umaskini tuu...
 
Ni sawa kabisa, na vipi tukifananisha Kenya na Japan kwa mantiki hiyo?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom