Petroli Inapatikana Hapa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Petroli Inapatikana Hapa..

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Chief, Dec 25, 2011.

 1. C

  Chief JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kwa wakazi wa Dar: Ili kupashana upatikanaji wa Petroli katika kipindi hiki cha uhaba, nimetoka kununua petroli kituo cha mafuka karibu na soko la Mwananyamala saa 10 alasiri leo hii. Hivyo changamkia kama unatafuta petroli wakati huu.

  Christmas Njema
   
Loading...