sasa haya yote uliyo yaeleza ni mambo ya mtu wa Petroleum Chemistry. Petroleum engineering kazi yake ni kuchimba na kuzalisha mafuta kutoka kwenye kwamba. Huyo Petroleum chemistry ndiye anahusika na kusafisha mafuta na gesi, kutengeneza kemikali kwa kutumia kampaundi zilizopo kwenye mafuta na gesi, kutengeneza mafuta mbadala kama hayo uliyo yaweka hapo, kutengeneza matairi, kutengeneza mbolea kwa kutumia gesi (Natural gas) na mafuta (naphtha), n. k n. k