Hapa bongo kozi za engineering zinaingiaga kwa kasi mno na kupotea kwa kasi mnoHiyo ilikua hot. Nakumbuka 2013 namaliza Geology UDOM washakaji wa petroleum karibi wote walikua washapata ajira za maana wakiwa chuo bado. Alafu darasa lao walikua 7 tu.
Geography haina role kubwa kwenye miamba!!!!!are you serious, what is physical geography then.....PCM anakuwa na advantage nzuri kwani masomo yote 3 yanakuwa applicable, PCB nayo safi ila PGM geography haina role kubwa kwenye miamba
Hiyo physical Geography unayosoma ni part ndogo sana katika petrology na usije ukalinganisha geography na Geology wala petroleum hizo lazima usome Chemistry, Physics na Adv Math au BAM, physical geography unaongelea surface processGeography haina role kubwa kwenye miamba!!!!!are you serious, what is physical geography then.....
VIJANA wanaangamia kwa kukosa MAARIFAumeona faida yake si ukasome unaulizann sasa
Miamba ni chemistry na physics tu. Hiyo physical geography wanayosoma ya mambo ya weathering mara land slide na earth quick haina kazi yoyote. Na PGM yako ukikutana tu na Geochemistry lazima ujambe ujambe. Sasa usije ukajiloga ukutane na Petroleum Geochemistry itakujambisha mazima yaaniGeography haina role kubwa kwenye miamba!!!!!are you serious, what is physical geography then.....
Ni kweli. Mimi nilitoka PCBHiyo physical Geography unayosoma ni part ndogo sana katika petrology na usije ukalinganisha geography na Geology wala petroleum hizo lazima usome Chemistry, Physics na Adv Math au BAM, physical geography unaongelea surface process
Hilo li geography la advance halina kazi yoyote kwenye kozi za petroleum.Ni kweli. Mimi nilitoka PCB
N
Ndio maana UDSM huwezi chaguliwa petroleum au mechanical engineering kama huna PCM. Unadhani kwanini. UDSM hata geology tu PGM huchukuliwi.
PGM inatakiwa ifutwe, kozi pekee ambayo inaendana na hiyo kozi ni "Bachelor of science in Metrology" tu.sasa combination ya PGM ina maana gani kuisoma au kazi yake ni nini?
vipi marubani?PGM inatakiwa ifutwe, kozi pekee ambayo inaendana na hiyo kozi ni "Bachelor of science in Metrology" tu.
Ni kweli mkuu. Kwa mfano mtu amesoma ARTS halafu anaenda chuo kusoma electronics wakati huko alikotoka hajasoma hata Matrix , na physics aliiacha form 2 .Kuna masomo ambayo huwezi kuelewa ukiwa chuo kikuu bila kupitia advance au diploma masomo hayo ni biology, chemistry na physics. Hayo masomo huwezi kuelewa bila kupitia advance. Huwezi kuelewa narudia tena.
Hata hujajibu swali, mim nauliza hiyo organic chemistry haifundishwi huko chuoni? badala ya kujibu umeishia kunipeleka geology, yaani nje ya mada kabisaaa!!
Nakataa sio kweli. Nakataa kabisa.Huwa masomo hayo yanafundishwa chuo ila nimuendelezo wa pale ulipoishia ulipokuwa form 6 , hawataanza kufundisha state of matter, Definition ya chemistry na kuchora Atom structure tena.
Hata Maths wanaendelea pale ulipoishia ulipokuwa sekondari, hawataanza kufundisha kuhusu Real Numbers na Whole Numbers.
Fursa zipo nyingi, sema tu graduates wengi wamekariri ajira za kuajiriwa.Danganya wazee unaenda Chuo..chukua ada anzisha biashara.
Baada ya miaka mi4 utakuwa mbali sana na wazazi watakusifu sana
-I am a petroleum engineering graduate 2018/2019
Umechemka real number na whole zinafundishwaHuwa masomo hayo yanafundishwa chuo ila nimuendelezo wa pale ulipoishia ulipokuwa form 6 , hawataanza kufundisha state of matter, Definition ya chemistry na kuchora Atom structure tena.
Hata Maths wanaendelea pale ulipoishia ulipokuwa sekondari, hawataanza kufundisha kuhusu Real Numbers na Whole Numbers.
PGM inahusu zaidi masuala ya unajimu, na uendeshaji wa meli na ndege pilots and captens wa cruise ship na siyo masuala ya miamba na tabia zake kijiofisizikia au kikemiasasa combination ya PGM ina maana gani kuisoma au kazi yake ni nini?
Kama umesoma combination za arts advance kasome Geology, au Petroleum geology uone kama utatoboaGeography haina role kubwa kwenye miamba!!!!!are you serious, what is physical geography then.....
sasa haya yote uliyo yaeleza ni mambo ya mtu wa Petroleum Chemistry. Petroleum engineering kazi yake ni kuchimba na kuzalisha mafuta kutoka kwenye mwamba. Huyo Petroleum chemistry ndiye anahusika na kusafisha mafuta na gesi, kutengeneza kemikali kwa kutumia kampaundi zilizopo kwenye mafuta na gesi, kutengeneza mafuta mbadala kama hayo uliyo yaweka hapo, kutengeneza matairi, kutengeneza mbolea kwa kutumia gesi (Natural gas) na mafuta (naphtha), n. k n. kFursa zipo nyingi, sema tu graduates wengi wamekariri ajira za kuajiriwa.
Kwa mfano;-
1.Anza kujitolea katika Petro Station kama mjaza mafuta ya magari.(ajira)
2.Anza kufanya private reseach zinazohusu ulichosomea.
-maeneo yanayohitajika na yasiyohitajika katika kuanzisha vituo vya mafuta.
-Namna ya kuinua sekta ya nishati kwa kutumia mafuta yatokanayo na mimea, wanyama au takamwili hasa zile zitokazo majumbani.
-Buni mbinu mbadala ya namna ya kuhifadhi na kuuza mafuta hasa katika maeneo ya visiwani, vijijini, na maeneo mengine yasiyo uwezekano wa kuwepo vituo vya mafuta.
-Namna gani unaweza kuongeza thamani bidhaa za mafuta kwa kutumia mimea, matunda na mizizi hasa katika tiba, ushafishaji na uendeshaji wa mitambo na utengenezaji wa dawa za kuua wadudu.
Kwa kuna article moja hapa:-