Petroleum engineering

Dsecky

Member
Joined
Dec 11, 2020
Posts
15
Reaction score
19
Sorry ukitaka kuwa petroleum engineering unaweza kuchukua PGM a level au ni lazima kuchukua PCM.
 
petroleum inahusisha chemistry so nadhani aliyesoma PCM ndio anayepewa nafasi. UDSM wanataka at least subsidiary pass ya advanced chemistry ili kusoma bachelor of science in petroleum engineering
 
Danganya wazee unaenda Chuo..chukua ada anzisha biashara.
Baada ya miaka mi4 utakuwa mbali sana na wazazi watakusifu sana

-I am a petroleum engineering graduate 2018/2019
 
Matumizi mabaya ya ada hayo.

Unasoma Pwtroleum Engineering kwa gharama ya milion 3 kwa mwaka pale Coet ilhali mpaka sasa hawajagundua chochote hata mafuta ya upako
 
Danganya wazee unaenda Chuo..chukua ada anzisha biashara.
Baada ya miaka mi4 utakuwa mbali sana na wazazi watakusifu sana

-I am a petroleum engineering graduate 2018/2019
Oo vizuri ikoje ni ngumu in terms of studies hata ajira ni rahisi kupata au
 
petroleum inahusisha chemistry so nadhani aliyesoma PCM ndio anayepewa nafasi. UDSM wanataka at least subsidiary pass ya advanced chemistry ili kusoma bachelor of science in petroleum engineering
Santeee
 
Kuna watu walisoma hiyo kozi pale UDOM na walisoma PGM(siyo Mambo ya kuambiwa, nimesoma nao chuo kimoja japo kozi tofauti).
 
Petroleum engineering inahataji pia uelewe chemistry (organic chemistry, inorganic chemistry na physical chemistry). Haya masomo ni muhimu sana.
Sasa ukiwa na PGM kuna mambo utashindwa kuyaelewa vizuri. Ukitaka uielewe vizuri ni vyema uende na PCM.
 
Okay thanks nimekuelewa
 
Watanzania bwana... kwani chuoni hawafundishi hizo organic chemistry?
 
Sorry ukitaka kuwa petroleum engineering unaweza kuchukua PGM a level au ni lazima kuchukua PCM.

Inategemea na chuo ila kinachotakiwa zaidi ni phy na maths!!

Ila Kijana kama una chanel sawa nenda kasome hiyo kozi ila kama wewe ni mtoto wa mkulima nenda kasome moja kati ya hizi...

1. Civil engineeering.

2. Electrical

3. Mechanical

Hizi ndio kozi mama za uhandisi kwenye hii dunia hata aje rais gan huwezi kosa mchongo completely.
 
Watanzania bwana... kwani chuoni hawafundishi hizo organic chemistry?
Kuna masomo ambayo huwezi kuelewa ukiwa chuo kikuu bila kupitia advance au diploma masomo hayo ni biology, chemistry na physics. Hayo masomo huwezi kuelewa bila kupitia advance. Huwezi kuelewa narudia tena.
 
Kama huwezi kuelewa kwanini yanafundishwa?
 
Sorry ukitaka kuwa petroleum engineering unaweza kuchukua PGM a level au ni lazima kuchukua PCM.
PCM anakuwa na advantage nzuri kwani masomo yote 3 yanakuwa applicable, PCB nayo safi ila PGM geography haina role kubwa kwenye miamba
 
N
Ndio maana UDSM huwezi chaguliwa petroleum au mechanical engineering kama huna PCM. Unadhani kwanini. UDSM hata geology tu PGM huchukuliwi.
Hata hujajibu swali, mim nauliza hiyo organic chemistry haifundishwi huko chuoni? badala ya kujibu umeishia kunipeleka geology, yaani nje ya mada kabisaaa!!
 
Danganya wazee unaenda Chuo..chukua ada anzisha biashara.
Baada ya miaka mi4 utakuwa mbali sana na wazazi watakusifu sana

-I am a petroleum engineering graduate 2018/2019
Hiyo ilikua hot. Nakumbuka 2013 namaliza Geology UDOM washakaji wa petroleum karibi wote walikua washapata ajira za maana wakiwa chuo bado. Alafu darasa lao walikua 7 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…