Petrol station for sale!

Petrol station for sale!

Ngoja nitoke church nakuja kununua
20201117_235907.jpg
 
Sema sijapenda rangi yake, kingekuwa cha rangi ya njano nigekuja kabisa kulipa cash.
 
Mbona Kama imejengwa kwenye hifadhi ya barabara?

Niniangalia naona kabisa imepitiwa na Barabara ya lami.

Bad enough,
Barabara ya lami inaonyesha imejengwa bila kuwekwa mifereji ya maji.

Na kwa haraka haraka, inaonyesha ujenz wa barabara bado unaendelea.

Kwaiyo inawezekana kabisa,
Mwenye sheli keshaambiwa aondoke Apo kupisha barabara.

Sasa kwa sababu sisi binadamu wa Sasa tumekua wabishi Sana.

Ndo mana
Mwenye Mali, kaamua kuuza fasta fasta ili afidie nusu hasara.

Ni mtizamo lakini
 
Mtaalamu wa calibration niko hapa kama utaitaji na ni bei ya kitanzania
 
Mbona Kama imejengwa kwenye hifadhi ya barabara?

Niniangalia naona kabisa imepitiwa na Barabara ya lami.

Bad enough,
Barabara ya lami inaonyesha imejengwa bila kuwekwa mifereji ya maji.

Na kwa haraka haraka, inaonyesha ujenz wa barabara bado unaendelea.

Kwaiyo inawezekana kabisa,
Mwenye sheli keshaambiwa aondoke Apo kupisha barabara.

Sasa kwa sababu sisi binadamu wa Sasa tumekua wabishi Sana.

Ndo mana
Mwenye Mali, kaamua kuuza fasta fasta ili afidie nusu hasara.

Ni mtizamo lakini
Uko sahihi...wakati picha inapigwa kulikuwa na matengenezo ya barabara...ila nikufahamishe tu...ujenzi wa sheli sio kama nyumba ya kuishi, sheli zote zipo kando ya barabara na wana kibali maalumu kwa sababu ndio mazingira rafiki ya wao kutoa hudumu, na endapo utachukua eneo hilo kwa uso wa mbele biashara pekee unayoruhusiwa kuweka hapo ni Petrol station. Kwa wakazi wa kigamboni watakuwa wanaifahamu now ujenzi umekwisha kila kitu kipo sawa boss.
 
Kigambono huko labda ufanye biashara ya kulima nyanya biashara ya petrol station kwa traffic ipi? Ya kwenda Mikadi? Tuliwahi kuja South Beach full uswahili disco vumbi, vibaka wote wa kigamboni wanahamia huko
 
Mkuu ilikuwa mwaka gani huo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom