Petrol station for sale!

Petrol station for sale!

Hapana wala hayana bei hizo madalali wengi wanaharibu sana biashara hapo mzee ukipiga hesabu kuanzia EIA mpka ujenzi hata mil 120 haifiki hizi pump tuu ni mil 30 .sasa uliza bei wanazotangaza wanauza utachoka
Ukiwa much know Jitahidi kufanya reserch...mil 120 ujenge kituo cha mafuta umebanwa na mavi wewe, kwa hela hiyo hata mm ningekuwa nacho
 
Kigambono huko labda ufanye biashara ya kulima nyanya biashara ya petrol station kwa traffic ipi? Ya kwenda Mikadi? Tuliwahi kuja South Beach full uswahili disco vumbi, vibaka wote wa kigamboni wanahamia huko
Nahisi kigamboni umefika 10 yrs a go, hakuna mji inakuwa kwa kasi kama kigamboni.
 
Ukiwa much know Jitahidi kufanya reserch...mil 120 ujenge kituo cha mafuta umebanwa na mavi wewe, kwa hela hiyo hata mm ningekuwa nacho
Hio pesa hata kiwanja sidhani kama inaweza ikakinunua
 
Ardhi thamani yake aizid 1.5B
Hapo unaongelea ekari 8.6 kama hector ni 3.5. Na eneo lenyewe ni kama mtoa mada alivyoeleza. 1.5B nakataa ni zaidi ya 7B.
Ukiachilia mbali ardhi vingine ni bei ndogo sana. Bahati nzuri mie nipo kwenye field ya Engineering mwaka wa 18 huu.
 
Mzee 8b ni pesa nyingi sana....bado najiuliza kwa atakae nunua....pesa itarudi baada ya muda gani.
Kwa 3.5 hectors sio lazima ubaki na petrol station tu. Unaweza kuwekeza mambo mengine kama apartments, shopping malls nk.
Kumbuka mwenye uwezo wa kutoa 8B means anauwezo wa kufanya mambo mengine makubwa.
Hebu mfano Bakheresa anaenda kununua hapo unafikiri atabaki na petrol station tu?
 
Hapo unaongelea ekari 8.6 kama hector ni 3.5. Na eneo lenyewe ni kama mtoa mada alivyoeleza. 1.5B nakataa ni zaidi ya 7B.
Ukiachilia mbali ardhi vingine ni bei ndogo sana. Bahati nzuri mie nipo kwenye field ya Engineering mwaka wa 18 huu.
Ahsante sana kwa kumuelewesha
 
Uko sahihi...wakati picha inapigwa kulikuwa na matengenezo ya barabara...ila nikufahamishe tu...ujenzi wa sheli sio kama nyumba ya kuishi, sheli zote zipo kando ya barabara na wana kibali maalumu kwa sababu ndio mazingira rafiki ya wao kutoa hudumu, na endapo utachukua eneo hilo kwa uso wa mbele biashara pekee unayoruhusiwa kuweka hapo ni Petrol station. Kwa wakazi wa kigamboni watakuwa wanaifahamu now ujenzi umekwisha kila kitu kipo sawa boss.
Kuwa muwazi. Hairuhusiwi kujenga biashara au makazi yeyote ndani ya hifadhi ya barabara. Naona kama unataka kuwaingiza watu mkenge hapo.
 
Mkuu wewe ni mtaalam sana wa kuchekecha mambo,hata mimi nina wazo kama lako.
Na kwa kuongezea tu hapo wameanza na bei kubwa ya 8b ili kuwapumbaza watu kisaikolojia,kwa hiyo akijitokeza bwege mmoja akisema mimi nina bilioni 4 tu ataambiwa sawa leta hiyo hiyo bilioni 4 utaongezea na hela kidogo tu ya maji,weka hela mezani tumalize biashara.
Mbona Kama imejengwa kwenye hifadhi ya barabara?

Niniangalia naona kabisa imepitiwa na Barabara ya lami.

Bad enough,
Barabara ya lami inaonyesha imejengwa bila kuwekwa mifereji ya maji.

Na kwa haraka haraka, inaonyesha ujenz wa barabara bado unaendelea.

Kwaiyo inawezekana kabisa,
Mwenye sheli keshaambiwa aondoke Apo kupisha barabara.

Sasa kwa sababu sisi binadamu wa Sasa tumekua wabishi Sana.

Ndo mana
Mwenye Mali, kaamua kuuza fasta fasta ili afidie nusu hasara.

Ni mtizamo lakini
 
Hata milioni 500 haiwezi kuvuka kwa sehemu za nje ya mji labda iwe kariakoo au magomeni hapo sawa.
Hujui kitu wewe kaa kimya kigambini viwanja vya squter vipo mpk sqm 35000, sasa piga hesabu hekari moja ina sqm 4200, kwa hekari 8 Utanunua kuasi gani?
 
Hujui kitu wewe kaa kimya kigambini viwanja vya squter vipo mpk sqm 35000, sasa piga hesabu hekari moja ina sqm 4200, kwa hekari 8 Utanunua kuasi gani?
Kwa hiyo unataka kusema sheli 1 inakaa kwenye kiwanja cha hekari 8?
 
Kuwa muwazi. Hairuhusiwi kujenga biashara au makazi yeyote ndani ya hifadhi ya barabara. Naona kama unataka kuwaingiza watu mkenge hapo.
Hebu niambie kama kuna sheli iliyo nje ya mita 60 kutoka barabara kuu?...Tatizo mnaenda chooni mnakuny* akili mnaacha mav* #Kumradhi
 
Kwa hiyo unataka kusema sheli 1 inakaa kwenye kiwanja cha hekari 8?
Eneo la mmiliki wa hiyo sheri ni hekar 8, hvy anauza lote, kama vingekuwa ni sheri yenyewe isingezid 2.5 mpk 3B
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom