Petition To Remove Kikwete From Office..........Please sign | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Petition To Remove Kikwete From Office..........Please sign

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jan 11, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  UKOMBOZI NI MUHIMU NA NI LAZIMA TUJITOE MHANGA. HACHENI MAMBO YA KINAFIKI NA UPUMBAVU. TUNAOMBA NGUVU YA UMMA, KU SIGN HII PETITION ILI TUUNGANE NGUVU KUPINGA UDHALIMU NA UDIKTETA WA KIKWETE. MNAPOJIFICHA NYUMA YA KOMPUTA NA KUANDIKA UPUPU, MBONA TUSIWE MAJASIRI NA KUSIGN HII PETITION, TUKUSANYE NGUVU NA KUANDAA MAANDAMANO, MAJITU MENGINE YANAULIZA USHUZI UTADHANIA WAO NDO WASOMI KUMBE ***** TU???

  JAKAYA MRISHO KIKWETE MUST GO AND POSSIBLY FACE JUSTICE !!

  Tafadhali watanzania MUACHE UOGA. Kila mtu asign hii petition kumng'oa Kikwete Ofisini. Tunaomba sign 100,000. Tunapeleka hizi petitions kwa wafadhili. Bahati nzuri wamarekani wanatuunga mkono, na wameshamuona Kikwete kama mpuuzi asiyefaa kuongoza nchi, na mwaka huu mtaona sfari zake za Marekani zikiota majani.

  Tunaomba m-sign na kusambaza habari hizi kupitia facebook twitter na blogs zote. Bofya hapa kusign petition PETITION KUMNG'OA KIKWETE MADARAKANI

  Badala ya kulalamika humu JF chukueni hatua leo. Hii itatusaidia kuungana pamoja kuandaa maandamano nchi nzima ya Kuandamana hadi ikulu, ikibidi kuchukua wiki nzima hadi kieleweke. Baada ya kusaini, tutasambaza hii petition kwenye balozi zote na kukubaliana siku ya kuanza maandamano nchi nzima. Ila Kikwte must go..... hacheni uoga wa kijinga, kusaini hakuweza kukudhuru. Polisi hawawezi kukamata nchi nzima watanzania.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  umeisoma hii petition in detail....pdf file...author of this petition is Ridhiwani Kikwete na e-mail yake imeandikwa... hii ina maana gani... inteligensia humu JF au.... clarify authenticity of your will.... au ume download from search engines without scrutiny.... which body supports this petition...?
   
 3. T

  The Future. Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  crap, tunahitaji mbinu za kiintelijensia kumtoa mkwere na sio usanii.
   
 4. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Unaweka makalio yako JF. mbona usilete inteligensia yako? tunataka aondoke... kawa unaweza sign kama utaki hacha, nchi yenu iendelee kubakwa na mkwere
   
 5. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mpelekee JK asign kujing'oa mwenyewe usituletee scrap hapa sie tunajua atang'oka vipi wala si kwa kusaini upupu km huu
   
 6. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  LAT asante sana kwa umakini wako huo. Great Thinker kweli! Kumbe huyu MGsalon huwa ni mtoto wa kenge hapa kwenye safari ya mamba tu! Vipi ndio wanataka sahihi hizo za nini tena; kutambikia zaidi au kuwaua kama Ismael.

  Maadam yeye mwenyewe anatuomba tumsaidie kumg'oa baba yake basi tumsaidie huenda naye anakerwa na jambo tusilolifahamu. Mimi nilikua nikihangaika kumtetea baba yake kumbe wao kama familia tayari wanakwenda kinyume na sisi?
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  in red hao ni nani.....? are you serious MG...?
   
 8. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  haina haja ya ku sign,hizi mishe mishe 2015 hafiki kwani watu wamemchoka kabisa,leo nilikuwa kwenye dala dala yani hadi wakina mama wauzA ma2nda wamechoshwa na Jk.
   
 9. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1. Sahihi laki 1 kumuondoa rais ni kwa mujibu wa ibara namba ngapi kwenye katiba?

  2. Wafadhili wanahusika vipi na taifa letu kuondoa rais?

  3. Kwa nini tumuondoe baba yake Ridhiwani wakati kinachohitajika ni mfumo wa utawala?

  4. Katiba inasema ni nani au taasisi gani ikusanye sahihi kama hizo na kwa njia gani?

  5. Sahihi zikishakusanywa zinapelekwa wapi huko ambayo ina mamlaka gani kuto maamuzi hayo kuondoka rais?

  MGsalon tupe majibu hayo kisha tukupe sahihi sasa hivi.
   
 10. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Huna adabu...mpelekee bibi yako kama yuko hai assign.....Mi sipo kwa ajili ya maslahi ya chama fulani ila naamini JK alishinda coz upinzani ulikua bado haujaweka mizizi mpaka vijijini na huko ndiko kuliko sababisha anguko la upinzani.
  Hata idadi ya wabunge iko wazi.
  Kwa hiyo sioni sababu ya kuleta mawazo kama haya hapa maana kesho utatuletea petition nyingine kwamba tusaini ili kuingia vitani kwenda kumngoa JK oficn. Lets wait for the peoples voice 2015.
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  MG. Ahsante kwa ku edit topic yako..... show your prosperity....for your info hii website is a big spam....
   
 12. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Vikojozi! yaani mmeshindwa mbinu zote mkaamua mtumie hii...

  Hivi mtaendelea kufuatilia maisha ya watu hadi lini?

  Ningeshauri muanzie huko huko kwenye kata za UDOM na UDASA...
   
 13. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu.. Ubarikiwe sana kwa kuwa muwazi... Kesho nitakupm unitumie hilo file la hawali.
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  pambaaaf sake mkwere yule hana akili.........................hebu nikaisign faaasta.
   
 15. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahahhh!!!!!!!!!!! Nimecheka hadi mbavu zinauma ila yooote kenda, kumi ni kwamba... nimejifunza kitu kimoja hapa kwa wana JF. Wengi wenu mmejaa "WOGA" wa kushikwa/kupigwa pingu na Mkono wa IGP. Haha haha!!

  Nini maana ya People's Power??????????? Naamini hata Katiba inaweza kukataliwa. Lakini G alipaswa kusema kuwa tusaini kushiriki maandamano kutoka mikoani hadi Ikulu..... Kusema .....JK Off you Go!! Nafikiri hili linawezekana na Polisi hawezi kufua dafu kwa nchi yote angalau nusu ya Watz
   
 16. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  ASante kaka.....
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wishful Thinking, ngojeni 2015, kama bado mtakuwepo, mjaribu tena bahati yenu. Tena hivi tushawajuwa ni watu wa fujo, sijui kama tutawapa kura zetu, labda mtulazimishe maana nyie kwa vita ndio wenyewe, hata magwanda yenu yanaashiria vita, au sio?
   
 18. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0

  Nyie mafisadi kuleni kona. Kikwte is out, it is not if again, it is only when...take my word, before 2012, kikwete atakuwa amechoka na kutoka mwenyewe, ushishangae akifa kwani ameua watanzania wengi

  Mtazame moi wa kenya, Mobutu na wengine
   
 19. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Amaa kweli Zomba mkubwa hivyo unaogopa mavazi.Eti unasema mavazi ya vita..!!Hayo ja kijani umeona ndio
  mavazi sio yanavyokutafuna haujui ni mbwa mwitu hao wamevaa ngozi ya kondoo.Sitegemei mtu mzima ukajaji
  mavazi eti ndio kigezo cha itikadi...!!!Kaa chini angalia alama za nyakati...thithiemu matumbo joto.
   
 20. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mimi sina wasiwasi sababu najua hawezi kuwa hai mpaka 2015. Hizi pressure zote anazopata na afya yake ilivyo legelege sijui! let us wait and see.

   
Loading...