Kiaranga,
Tanzania iwewahi kuandaa vitu vingapi? je masuala ya maji na umeme hayakuwapo mawazoni mwa waliotuletea Sullivan au Bunge la Jumuiya ya Madola?
Labda wewe uniambie Tanzania imewahi kuandaa vingapi.
Katika maoni na makabrasha yako Sullivan na Bunge la Jumuiya ya Madola vimetusaidia vipi?
Halafu tenganisha kitu kama Bunge la Jumuiya ya Madola, ambacho kinaweza kuwa a necessary bureaucratic expense na ku host a sporting event kitu ambacho kinaweza kuangaliwa from an investment perspective.The former is a matter of course, tena mnaweza kuambiwa mwaka huu zamu yenu, inaweza kuwa ni obligation kwa hiyo itabidi mjitutumue tu . the latter watu mnajipendekeza wenyewe, tena mnashindania.
My point ni kwamba, kama mnatafuta ujiko wa kusema "Tanzania tumejitutumua na ku host hiki na kile" go ahead, why stop at the African level, go ahead and host the Olympics. Lakini kama mnataka michezo hii iwe na maana kiuchumi, kwanza mnajenga stock market, mnajenga middle cass, mnajenga vyuo vikuu, mnahakikisha wananchi wana huduma muhimu za jamii, wana maji, wana madawa, halafu mnaweza kusema tushafanya vitu basic vyote sasa tunatk kwenda kwenye complicated investments za ku host michezo.
Hujanijibu swali langu dogo tu.Ukitaka kuleta michezo hii ghafla bila kuweka mazingira mazuri, utakuwa tayari kuhost michezo katika viwanja expensive huku 80% ya seats ziko wazi kwa sababu wananchi hawawezi ku afford tickets?
Ukitumia common sense tu utaona nchi isiyo na maji/ umeme haina business kutaka ku host michezo yenye gharama kubwa hivi.It just doesn't add up, it just doesn't make sense.
Usitake kufananisha Commonwealth Parliamentary meeting / Maboksi meeting ya Sullivan na kuwa host wanamichezo wa Afrika nzima.
One can even make an argument kwamba nchi ambayo haina mafanikio ya kimichezo haina business ku host mashindano mpaka iwe na mafanikio.Msije kutuletea balaa bure mkatolewa raundi ya kwanza mechi zikadoda kwa kukosa watazamaji.