Msigwa kwa mwezi analipwa mshahara milioni 12 ana maisha magumu gani kama sio kukufuru MunguKadanganya nni??? Miaka 50 maisha magumu hivi alafu mnasema mko huru ..... Unasahau 60% hawana maji safi na salama nchi nzima uhuru my foot
English umejifunza St Lumumba au?? Keybaorder ndio nini???Keybaorder!!
Kwahyo akilipwa 12 M ina maana wananchi wa jimbo lake hawaishi chini ya dollar moja kwa cku??? Kaz kwelikweliMsigwa kwa mwezi analipwa mshahara milioni 12 ana maisha magumu gani kama sio kukufuru Mungu
Ha ha ha, haka kajamaa ni kapuuzi sana.Ni rahisi sana mpuuzi kumwita mwenye busara mpuuzi
Wewe ni mpumbavu tuHa ha ha, acha kuweweseka.
Ha ha ha, haisaidii kitu.Wewe ni mpumbavu tu
Ha ha ha, haisaidii kitu.
Kwanza amekalia kiti chetu.Msigwa kwa mwezi analipwa mshahara milioni 12 ana maisha magumu gani kama sio kukufuru Mungu
Mbona unarudia rudia. Huna tusi jipya? Ha ha ha.Wewe ni mpumbavu tu
Mbona unarudia rudia. Huna tusi jipya? Ha ha ha.
Duh, umeishiwa?Wewe ni mpumbavu tu
Wewe Rafiki yangu umefanya nitafakari sana kwamba sisi tullio wengi tunafuata mamluki haiwezekana useme mtu fulani mpuuzi halafu uulizwe upuuzi gani umefanyika? .Halafu jibu lako liwe hivi "Msigwa ni Mpuuzi sana" swali jepesi la kutumia weredi lakini jibu jepesi la kutotumia weredi..... Hongeraaa sana ingawa tunashauriwa tubadilike kweli Tunapasaswa kubadilikaMsigwa bado ni kijana mdogo na ni mpuuzi sana. Hajui aongealo.
Muonekano wa binadam yeyote kwa mara ya kwanza umuonapo, ndo uhalisia wake. Hivyo sikushangai hilo jina lako ndo uhalisia wako!! Wakukupuuza tu wewe.Huyo Msigwa ni mpuuzi mkubwa.
Naona mmefunga shule, sasa mnatusumbua na upepo mliolishwa!! Jitahidi umalize japo kidato cha nne. Kitakufungua ufahamu na utaweza kuchangia humu jukwaani. Sasa hivi uwe unatoa like na dislike tu!Kwanza amekalia kiti chetu.
Teh..teh..another one from facebook.Sasa hivi uwe unatoa like na dislike tu!
Sasa na wewe unajiita true? Ha ha ha.Muonekano wa binadam yeyote kwa mara ya kwanza umuonapo, ndo uhalisia wake. Hivyo sikushangai hilo jina lako ndo uhalisia wako!! Wakukupuuza tu wewe.
Anayepaswa kubadilika ni huyo "mch." Msigwa asiyejitambua....Tunapasaswa kubadilika