Peter Msigwa: Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili umasikini hauondoki kwa kumchukia tajiri, kuhesabu dhambi za mwenzio hakukufanyi wewe kuwa mtakatifu,
Nina furaha kubwa kwa kuwa mimi nina historia. Wala sioni tabu wala aibu kusimulia nilikotoka , kwenye kitabu changu mtaona mengi , ingawa wengi mnaficha historia zenu. Kama nimeweza unaweza pia!
 
Attachments

  • FB_IMG_1478697269787.jpg
    FB_IMG_1478697269787.jpg
    18.1 KB · Views: 124
SASA ATAKUWA ANAWASEMA WENZAKE NDANI YA CHADEMA KWANI NDIO WAME PROVE KUTOKUWA NA AKILI NA KUROPOKA ROPOKA KAMA WEHU. WENGI WAO NI FAILURES WA KIDATO CHA 4 & 6. NA MFANO NI MBOWE, KUBENEA NA LEMA.

BY PRESIDAA MAGUFULI - AKITUELEZEA SABABU ZA CHADEMA KUWATETEA WANAFUNZI WA SPECIAL DIPLOMA WA UDOM.
 
Wewe naona povu limeisha umeanza toa vumbi
 
SASA ATAKUWA ANAWASEMA WENZAKE NDANI YA CHADEMA KWANI NDIO WAME PROVE KUTOKUWA NA AKILI NA KUROPOKA ROPOKA KAMA WEHU. WENGI WAO NI FAILURES WA KIDATO CHA 4 & 6. NA MFANO NI MBOWE, KUBENEA NA LEMA.

BY PRESIDAA MAGUFULI - AKITUELEZEA SABABU ZA CHADEMA KUWATETEA WANAFUNZI WA SPECIAL DIPLOMA WA UDOM.
Typical spoiled Tanzanian academician. Sio wewe tuu unayependa kujidanganya.Waafrica na waasia mmezidi, ila ktk hilo kundi watanzania na wasomi uchwara mmezidi. Kila mahali mnafanya maigizo .pengine mkidhani mnapoteza attention ila kote mnajidanganya zaidi. Km hadi leo maprof mliouwa mkiwapa promo kwamba ni mabingwa wa uchumi sasa hivi mnawatumia kubomoa vyama na si kuwapeleka ktk viwanda. kwa vile mnajua ni feki. Wengine mnawatumia kupika tafiti na mnaziamini hizo tafiti wanazopika. Sijui nani anapata hasara zaidi ya anayepika uongo wa kutosha mdanganya mwenyewe tuu.
 
SASA ATAKUWA ANAWASEMA WENZAKE NDANI YA CHADEMA KWANI NDIO WAME PROVE KUTOKUWA NA AKILI NA KUROPOKA ROPOKA KAMA WEHU. WENGI WAO NI FAILURES WA KIDATO CHA 4 & 6. NA MFANO NI MBOWE, KUBENEA NA LEMA.

BY PRESIDAA MAGUFULI - AKITUELEZEA SABABU ZA CHADEMA KUWATETEA WANAFUNZI WA SPECIAL DIPLOMA WA UDOM.
Amen
 
Dah! Hii falsafa ya juu sana. In brief maneno ya Mh. Msigwa yanaweza kuwa summarised just in four words, "mambo yote ni ubatili".
 
Daaaah kweli njaa ikipanda kichwani ni hatari sana

Hawa ndio maDC watarajiwa
 
Dah! Hii falsafa ya juu sana. In brief maneno ya Mh. Msigwa yanaweza kuwa summarised just in four words, "mambo yote ni ubatili".
Ulichoandika ni ubatili mkuu. mambo yote hayawezi kuwa ubatili. Failure ndio huwa wanaharibu mechi wakishindwa wanaharamisha matokeo wakishindwa lazimisha uongo uwe kweli. Mwishowe huamua kusema ukweli ni relative. CCM nao huwaambia wapuuzi kila chama kikiingia nacho kila kula, kila chama kikiingia nancho kitashindwa km wao. Ili wajinga na wavivu wasione sababu ya kubadili hata km hawaja thibitisha
 
SASA ATAKUWA ANAWASEMA WENZAKE NDANI YA CHADEMA KWANI NDIO WAME PROVE KUTOKUWA NA AKILI NA KUROPOKA ROPOKA KAMA WEHU. WENGI WAO NI FAILURES WA KIDATO CHA 4 & 6. NA MFANO NI MBOWE, KUBENEA NA LEMA.

BY PRESIDAA MAGUFULI - AKITUELEZEA SABABU ZA CHADEMA KUWATETEA WANAFUNZI WA SPECIAL DIPLOMA WA UDOM.
Unachokisema ndicho msigwa anachokipinga tatizo hujaelewa unachokisema
 
Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili umasikini hauondoki kwa kumchukia tajiri, kuhesabu dhambi za mwenzio hakukufanyi wewe kuwa mtakatifu,
Nina furaha kubwa kwa kuwa mimi nina historia. Wala sioni tabu wala aibu kusimulia nilikotoka , kwenye kitabu changu mtaona mengi , ingawa wengi mnaficha historia zenu. Kama nimeweza unaweza pia!
Anayemsapoti lowassa akapimwe akili.
 
Huyu kesha pimwa akili kuhusu ile kauli yake dhidi ya El. Anaye jua matokeo ya vipimo hivyo atujuze wana jF.

Na washawasha!
 
Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili umasikini hauondoki kwa kumchukia tajiri, kuhesabu dhambi za mwenzio hakukufanyi wewe kuwa mtakatifu,
Nina furaha kubwa kwa kuwa mimi nina historia. Wala sioni tabu wala aibu kusimulia nilikotoka , kwenye kitabu changu mtaona mengi , ingawa wengi mnaficha historia zenu. Kama nimeweza unaweza pia!

Hiki kimsigwa nacho cheupe tu.
Yaani kinajiona.kina akiiiili mwaka.kilikuwa.preempted na Polepole.

Yaani mie nilikitoa ktk list.ya.watu.wa kutegea. Hovyo kabisa
 
Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili umasikini hauondoki kwa kumchukia tajiri, kuhesabu dhambi za mwenzio hakukufanyi wewe kuwa mtakatifu,
Nina furaha kubwa kwa kuwa mimi nina historia. Wala sioni tabu wala aibu kusimulia nilikotoka , kwenye kitabu changu mtaona mengi , ingawa wengi mnaficha historia zenu. Kama nimeweza unaweza pia!

Anaye msapoti Edward Lowassa akapimwe akili..
Huu msemo niliulewa sana enzi zile 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom