Hivi chadema mnajua kuwa hilo jimbo ndo analokuja kugombea Mzalendo Zito
Huyo Zito atagombea majimbo mangapi!!!!!???? Tuelewesheni!!!
Hivi chadema mnajua kuwa hilo jimbo ndo analokuja kugombea Mzalendo Zito
wakuu
wasalaam
Mh, Peter Msigwa (Mbunge wa Iringa
Mjini) asherekea Pasaka Mkoani Njombe
kwa kupeleka Ujumbe wa CCM ni HATARI
kwa Usalama wa Taifa sasa hivi hapa njombe kumewaka moto mashambulizi ni ya moto sana kutoka chadema
Ccm mwaka huu watajuta kutufahamu
Mpaka waombe poooo
Ziara ndio imeanza rasmi leo
pipoooooooooozzz
....................
kilaza
Jina lako tu inaonesha ni jinsi gani wewe ni Kilaza, hivi ule ukichaa wako uliisha, nakushauri urudi tena Milembe
sawa dada kwani umeshapata mume ???