SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
- Thread starter
- #21
Mapema tu. Ana template tayari. Ukilazwa Tu anaanza kutest mitamboDu Jamaa yupo Fasta
Mapema tu. Ana template tayari. Ukilazwa Tu anaanza kutest mitamboDu Jamaa yupo Fasta
Kosa lake ni lipi?Dawa ni kumtungia wimbo yeye mwenyewe huyu Msechu ili naye awe mpole
Wewe huoni kosa la Msechu?Kosa lake ni lipi?
Hivi hapo ipo pesa mingi eenh?Hahaha Bongo raha sana unaji-position sehemu yako unapiga pesa tu.
Apewe kazi CCMHuyu anafuata nyao za Jonh Komba
Ameshapata mbona kitambo mf si hizo nyimbo za maombolezo wanafanya kumvutia waya tuu oya Msechu tunataka track moko ya huyo marehemu Job NdugaiApewe kazi CCM
OkayAmeshapata mbona kitambo mf si hizo nyimbo za maombolezo wanafanya kumvutia waya tuu oya Msechu tunataka track moko ya huyo marehemu Job Ndugai