Peter Kibatala akwamisha kesi ya kina Mdee

Wakili anayeongoza kula hela za Chadema bila kushinda kesi yoyote bwana Peter Kibatala safari hii amesababisha kesi ya wabunge 19 wa Chadema kuahirishwa hadi mwezi wa 3 mwaka 2023, baada ya kushindwa kutokea mahamakani bila sababu zozote za msingi, huku akiendelea kulipwa mshahara na marupurupu mengi kutoka kwenye ruzuku ya chama.

Ikumbukwe ni Peter Kibatala aliyesimamia kesi ya Mbowe ambayo mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu kuhusu ugaidi wake.
.View attachment 2437457
Peter Kibatala kiboko ya CCM
 
Kwa nini Kibatala hakwenda?
Nchii hii ngumu sana na imejaa vijana wa hovyo tu. Hukusoma kuwa Kibatala anasikiliza kesi nyingine Mwanza?? Katika hali ya kawaida tu, mtu mmoja anawezaje kuwa sehemu mbili tofauti katika wakati mmoja?? Hata hili nalo ni gumu kutambua??
 
Hakujua tarehe ya kesi zake?
 
Hakujua tarehe ya kesi zake?
Nitarudia kusema, nchi hii ina rundo wa vijana wa hovyo!!! Alijua tarehe na ndio maana aliitaarifu Mahakama kutokuwepo kwake. Alichofanya ni kuchagua aende kwenye kesi ipi katika hizo mbili. Mwenye akili atakwenda kwenye kesi inayoelekea kufika mwisho kuliko inayoanza!! Ungeenda mbali zaidi ungejiuliza "nani anapanga tarehe za kesi?" - Jibu ni "mahakama" na asiyeweza kuhudhuria ana wajibu wa kusema hatofika. Kwa uhovyo wako, unadhani ni Kibatala alipanga kuwa na kesi mbili tofauti katika tarehe moja!!

Ninasema tena - kundi ulilopo likipungua, nchi itasonga mbele!!
 
Vyovyote vile ukipata kesi mwezi huu lazima kesi itasimama kwa miezi kadhaa maana mahakama yaenda likizo
Huyu mpuuzi anaamini Kibatala ndiye kailazimisha mahakama iende likizo. Bongo tunaishi ndani ya Bongo muvi.
 
Nitarudia kusema, nchi hii ina rundo wa vijana wa hovyo!!! Alijua tarehe na ndio maana aliitaarifu Mahakama kutokuwepo kwake. Alichofanya ni kuchagua aende kwenye kesi ipi katika hizo mbili. Mwenye akili atakwenda kwenye kesi inayoelekea kufika mwisho kuliko inayoanza!! Ungeenda mbali zaidi ungejiuliza "nani anapanga tarehe za kesi?" - Jibu ni "mahakama" na asiyeweza kuhudhuria ana wajibu wa kusema hatofika. Kwa uhovyo wako, unadhani ni Kibatala alipanga kuwa na kesi mbili tofauti katika tarehe moja!!

Ninasema tena - kundi ulilopo likipungua, nchi itasonga mbele!!
Unatumia nguvu kubwa sana kutetea ujinga, Kibatala hakutakiwa kukosa kesi ya kina Mdee
 
Wewe mtu akikuita fala hajakosea!
Hivi una kiwango gani cha elimu? Ni muhimu ili watu wasipoteze muda wao na ngumbaru aliye nunuliwa simu na shemeji

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Wewe ndiyo kilaza mkubwa fala wewe .

Ina maana unapinga kwamba Mbowe alikutwa na mahakama ana kesi ya kujibu kuhusu ugaidi wake akiwa anatetewa na kibatala?
 
Wakili anayeongoza kula hela za Chadema bila kushinda kesi yoyote bwana Peter Kibatala safari hii amesababisha kesi ya wabunge 19 wa Chadema kuahirishwa hadi mwezi wa 3 mwaka 2023, baada ya kushindwa kutokea mahamakani bila sababu zozote za msingi, huku akiendelea kulipwa mshahara na marupurupu mengi kutoka kwenye ruzuku ya chama.

Ikumbukwe ni Peter Kibatala aliyesimamia kesi ya Mbowe ambayo mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu kuhusu ugaidi wake.
Nikutaarifu tu kuwa Kibatala ni kati ya mawakili ambao hata ccm inawaogopa sana!
hata kesi ya Mbowe ilifutwa kutokana na aibu ambayo ilikuwa ikaipate serikali ya ccm!
Ungekuwa na akili ungeelewa hilo
 
Mbowe hakushinda kesi mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu
 
Wewe ndiyo kilaza mkubwa fala wewe .

Ina maana unapinga kwamba Mbowe alikutwa na mahakama ana kesi ya kujibu kuhusu ugaidi wake akiwa anatetewa na kibatala?
Do you know difference between someone quilty and someone who has case to answer?
Ukiweza kutofautisha hayo mawili basi walao akili yako itahesabika unajitambua.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Na wewe endelea kutumika na amsterdam
Hujielewi wewe, sasa sijui shida ni nini! Kuzaliwa, kukulia na kuishi katika dimbwi la umasikini au elimu duni ambayo unafikia hitimisho kuwa kumiliki smartphone na kuitumia ni kuelimika hadi hutaki kujiuliza kwa nini wenye elimu kubwa wanafikiri tofauti nawe.
Tafuta tiba kijana!

Back
Top Bottom