Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Waulize hao wanao vaa hizo Pete watakujibu swali lako Me toomkuu sihitaji pete ila kumekuwa na jopo kubwa la watu kuwa na pete za hvyo adi vitoto miaka kumi na nane wanavyo sasa ni kama kero ndio maana yangu kutaka kujuzwa tu uwepo huu.
Zikoje........?........
mkuu sihitaji pete ila kumekuwa na jopo kubwa la watu kuwa na pete za hvyo adi vitoto miaka kumi na nane wanavyo sasa ni kama kero ndio maana yangu kutaka kujuzwa tu uwepo huu.
mapadri na wachungaji kule kanisani Wanavaa zaidi hizi pete sijui ni kwa nini mwenye knowledge atujuze
kwahyo mtu anavaa kama matatu mkono mmoja hachok?
Habarini ndugu zangu! Naomba kujuzwa maelezo mafupi juu ya hizi pete za silver wavaazo kina kaka na wababa wengi zina maanisha nini?
Na wewe nawe!!!!!!
ushamba tu umekuzidi,haya hizo hapo!!!
He he.......asante.......kumbe ni hizo........huwa naziona ila najua ni za kiganga.........basi sawa...........ndooooorooobo we......
Dokta acha uchokozi
He he.......asante.......kumbe ni hizo........huwa naziona ila najua ni za kiganga.........basi sawa...........ndooooorooobo we......
Nasikia wanaume wa kiislamu baadhi ya madhehebu hawaruhusiwi kuvaa gold. Hii silver inawahusu sana.