Pete za bahati....!

Antennah

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
6,709
8,679
Mambo vipi wakuu.

Kuna hili swala pete za bahati ambazo watu huzifata kwa waganga wa kienyeji na wengine huziokota pasipo wao kuzijua,
Huku zikiwa na malengo mbali mf:kujipatia fedha na mvuto kibiashara na nyingne zipo kwa ajili ya ulinzi wa mtu binafs.
Kwa nijuavo mimi ni kuwa zote hizi asili yake ni ujinini.!
Lakini nimekutana na article ya mmagician mmoja anadai zote hizo ni fake isipokuwa pete ya aina moja tu inaitwa "the ring of solomon" na inapatikana kwenye vidole vya mafreemasons ambao ni 33rd level pekee.

kwa yeyote mwenye kufahamu undani wa hili atueleze tafadhari.
Kosoa bt usintukane

Karibu.
 
Back
Top Bottom