princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 381
- Thread starter
-
- #21
lakini hadi watu mkifkia huko bas c kuna upendo wa dhat kati yenu au!!??lakini ukae ukijua kuwa hakuna zawadi iliyokubwa duniani kama upendo hasa ule upendo wa dhati ambao unapelekea mtu kutoa uhai wake kwa ajili yako.
Alitumie na nani
lakini hadi watu mkifkia huko bas c kuna upendo wa dhat kati yenu au!!??
Duhhh!!! Sasa na mimi nifanyeje ili nipate mwanamke mrembo kama wewe?
kaza buti dogo wakati ndo wako huu. jifunze kwanza zawaadi za uchumba ukiqualify baas utampata.
ila sasa jthd utelez usiuchakachue.
Mie kama itawezekana, ningependa kumbandika permanent tattoo ya jina langu....!
hapo kwel!! uspate pcha ye atakupa nini!!Siwezi kuusemea moyo wa mtu princess enny maana hakuna kitu kigumu hapa duniani kama kujua hisia au mawazo ya mtu. Naweza kuwa nampenda kwa dhati na kuwa tayari kujitoa kwa ajili yake lakini swala la ya kufanya the same huo ni uamuzi...all we have to do is to have faith in each other.
hapo kwel!! uspate pcha ye atakupa nini!!
mbandike kipipi!! af utampa zawadi gani akikubali!!??Mie kama itawezekana, ningependa kumbandika permanent tattoo ya jina langu....!
Nisiuchakachue kwa kutumia mchina au...??? Mbona unaniacha njia panda kungwi...??? Embu nipe ufundi nisije aibike mie mtoto wa mwanamke mwenzio.
my sisusiuchakachue kwa kuubadilisha dogo, si unaona wengine siku hizi marinda wanayafumua?
tunataka mbadala mkuu!! but hzo pete nzuri ajeeeeee!!!!
my sis
sioni kama kuna kitu mbadalatunataka mbadala mkuu!! but hzo pete nzuri ajeeeeee!!!!