princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 381
Simu ....Philips mche wa sabuni old model......ni kipimo kizuri kama ni mvumilivu na ana mapenzi ya kweli
kwa upande wangu mimi ningempa zawadi ya upendo na mapenzi yangu ya dhati ambayo hatoyapata kutoka kwa mtu mwingine yoyote zaidi yangu mimi...na hiyo ndio itakuwa zawadi yangu special kwa ajili ya huyo msichana ambayo ni jinsi gani nampenda, namheshimu, namthamini na jinsi gani alivyo wa muhimu katika maisha yangu.
pakiti la condom ya care
but utakuwa hujamtendea haki coz unatakiwa umpe material gift!!kwa upande wangu mimi ningempa zawadi ya upendo na mapenzi yangu ya dhati ambayo hatoyapata kutoka kwa mtu mwingine yoyote zaidi yangu mimi...na hiyo ndio itakuwa zawadi yangu special kwa ajili ya huyo msichana ambayo ni jinsi gani nampenda, namheshimu, namthamini na jinsi gani alivyo wa muhimu katika maisha yangu.
but utakuwa hujamtendea haki coz unatakiwa umpe material gift!!
siri ni utelezi wa Kaizer tu babitoooo
zawadi in terms of material